Mwanaume una njia zote za kufupisha ahadi ya mpenzi wako, kama utaamua

Mkuu, ofa kama hizi tuwe tunatafutana PM, nakuja kujiegesha kwenye hiyo bar, nasubiri ulewe,ucheze nikusifie! Ili nipige maji ya kutosha na kilinda mfuko pembeni!
Itovanilo
 
Watembeze kahawa vijana.
 
Hongera kwa kuitwa honey mkuu
Bila kusahau kupewa mbususu mapema…
 
Hapa ndipo ninapouamini ule msemo wa "mwanamke hufanya maamuzi ya kufanya ama kutofanya mapenzi nawe kwa mara ya kwanza tu mnapoonana"

Hata kama angeliamua kumchakata usiku ule, angekula vizuri tu! Yanini kupotezeana muda?

Exactly….
Kama nimekuelewa ya nini mieee kujibana
 
Mkuu ujatwambia posho ya uchafuz ulimwachia Bei gan, au ulimla bure[emoji4]
 
Chukua Marriage-Scanner halafu mscan ujiridhishe kama kweli ni Mke wa mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…