Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

Labda kwenu huko baba anaamka asubuhi kudeki, kuingia jikoni kupika vitumbua na kufua nguo akiwa kavaa barakshia yake, msuli na kobazi ?
Anaowa zaidi hya mke mmoj na anawawekea ma hausigeli.

Halagu sisi tuna utaratiibu mmoja kwetu, sijuwi kwa wengine. Bi harusi siku 40 za fungate hapiki hapakuwi, kazi ya somo hiyo. Baada ya hapo anakuwa kishamzowea mume basi akiona kazi ni nyingi na hakuna hausigeli atamrai mumewe wachukuwe visichana vya ndugu wavilee hapo viwe vinasaidia kazi.

Uislam ni mwema sana.

Pia mara nyingi Waislam kiasili, mwanamke akiolewa anakuja kwenye nyumba yenye watu tayari, extended family. Hatuna ujinga ujinga wa kujidai na mila ambazo siyo zetu.

Bara huko utakuta mke tena mpya, bado hata u bi harusi haujamtoka aanze kujijaza mimoshi ya kuni jikoni? Khaa, hayo atamfanyia mwanawe akizaa, mume ni wa kulisha na kuvisha na kudekeza.
 
Kwa Hilo hongereni sana
 
Huko ni kwa waislam wenye ukwasi mkuu.

Ila kiukweli kama uislam ungefutwa 100% ni mzuri ila baadhi yenu (na wewe ukiwemo) mnauharibu na kuupaka matope.
 
Kwa Hilo hongereni sana
Kwanza kwetu hatutaki mchezo, mke anakaa kwao au awe kishajengewa ndiyo wanahamia kwake na mumewe. Hukuti hata siku moja kwetu tunaishi kwa mume. Kisa cha kunyanyaswa?

Mwanamke mwenye maadili hakai kwa mume, tumeshayaon awengi yanawakuta.

Kwanza mwanamme kabla hajakuoa hata paja halioni wacha chupi. Saa ngapi akuletee ujinga.
 
Una akili zinazofikiria kwa mtazamo mfupi sana, umechukua sample size ya waislam wachache wenye uwezo kiuchumi na ku generalize ni maisha ya waislam wote

Unafkiri kila mtu ana uwezo wa kuweka house girl ?
Unafkiri kila mwislam ana uchumi wa kubeba extended family ?

Lakini bado hata kukiwa kuna house girl kuna wanawake wa kiislam wengi tu wanayajua majukumu yao, wana enjoy kuwapikia waume zao vyakula, jukumu la kufua nguo za mwanaume ni lao pekee, wana enjoy kuiweka nyumba katika hali nzuri kwa usafi.... wamekuzwa na kufunzwa majukumu yao na wana enjoy kuyafanya.
 
Huko ni kwa waislam wenye ukwasi mkuu.

Ila kiukweli kama uislam ungefutwa 100% ni mzuri ila baadhi yenu (na wewe ukiwemo) mnauharibu na kuupaka matope.
Uislam unafatwa 100% ambae haufati huyo ni mtu binafsi na ni mjinga mjinga kama wewe, Uislam upo na habadiliki.

Wewe umeshaingia kuufata Uislam?
 
Wengine wanatamani kujishughulisha tatizo anaweza akajimaliza na ndoa isiwepo hapana kwakweli.......heri kila nusu shari
 
Nimetowa options chungu nzima, nisome vizuri ewe poyoyo.
 
Wazazi waleeni watoto wenu vizuri wafundisheni kazi jamani tunakoelekea ni kugumu,matako na sura tu havitoshi kwenye ndoa.
Nina mifano mingi yaani watoto ndoa zimewashinda chanzo kikubwa ni uvivu na uchafu.Ngoja niishie hapa ila hali ni mbaya
 
Siku hizi ndoa zimekuwa kama biashara.

Wanawake wenye maokoto ama mambo safi ndio wanaolewa sana.

Wanaume wamekuwa wavivu sana. Hawajali hayo mambo ya kupikiwa. Wanatazama maokoto ya mke tu.

Hata kama hajui kufua wala kupika anaolewa tu akiwa na maokoto
 
Wazazi waleeni watoto wenu vizuri wafundisheni kazi jamani tunakoelekea ni kugumu,matako na sura tu havitoshi kwenye ndoa.
Nina mifano mingi yaani watoto ndoa zimewashinda chanzo kikubwa ni uvivu na uchafu.Ngoja niishie hapa ila hali ni mbaya
Huyo atakuwa siyo Muislam.

Muislam anaefata Uislam wake uvizu utokee wapi, anatakiwa aamke alfajiri atawadhe asali.- na aendeleze sala kutwa mara tano akiwa msafi wakati wote.
 
Duuhh huko Kizimkazi bado mnapikia kuni?
 
Mie nnapajuwaje Kizimkazi. Mimi kwetu mkuranga, shungubweni beach. tena kwetu kuni ni za mikoko. Ukipikia hizo kila mtu atauliza chakula umepikaje hiki? hajuwi siri ni moashi wa mikoko.

Khaa, ulitaka tupikie nini?
Kwa kina Mwinyi huko eeh ? Naona kavuta mkristo kutoka Iringa, ndugu wa mke wanalamba vitengo, alafu nao watoto huwa wanawaona wajomba ni kama mama😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…