mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Vp yule jamaa uliyempa kei ili asikuache hujawah mfulia na kumpikia?Unaoa mke au Housegirl tuanzie hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp yule jamaa uliyempa kei ili asikuache hujawah mfulia na kumpikia?Unaoa mke au Housegirl tuanzie hapo?
Umepata lunch mchana wa Leo Kijana?jitahidi upate hata Hindi la kuchoma litakupunguzia maruweruweVp yule jamaa uliyempa kei ili asikuache hujawah mfulia na kumpikia?
Kabisa🤣🤣🤣Kwakweli Mimi binafsi hiyo kazi siwezi, yani kujishughulisha na hata kwetu hawakufahamu sitaweza aisee,, haa😒😒
Anaowa zaidi hya mke mmoj na anawawekea ma hausigeli.Labda kwenu huko baba anaamka asubuhi kudeki, kuingia jikoni kupika vitumbua na kufua nguo akiwa kavaa barakshia yake, msuli na kobazi ?
Kwa Hilo hongereni sanaAnaowa zaidi hya mke mmoj na anawawekea ma hausigeli.
Halagu sisi tuna utaratiibu mmoja kwetu, sijuwi kwa wengine. Bi harusi siku 40 za fungate hapiki hapakuwi, kazi ya somo hiyo. Baada ya hapo anakuwa kishamzowea mume basi akiona kazi ni nyingi na hakuna hausigeli atamrai mumewe wachukuwe visichana vya ndugu wavilee hapo viwe vinasaidia kazi.
Uislam ni mwema sana.
Pia mara nyingi Waislam kiasili, mwanamke akiolewa anakuja kwenye nyumba yenye watu tayari, extended family. Hatuna ujinga ujinga wa kujidai na mila ambazo siyo zetu.
Bara hukoi utakuta mke utakuta mpya, bado hata u bi harusi haujamtoka aanze kujijaza moshi ya kuni jikoni? Khaa, hayo atamfanyia mwanawe akizaa, mume ni wa kulisha na kuvisha.
Huko ni kwa waislam wenye ukwasi mkuu.Anaowa zaidi hya mke mmoj na anawawekea ma hausigeli.
Halagu sisi tuna utaratiibu mmoja kwetu, sijuwi kwa wengine. Bi harusi siku 40 za fungate hapiki hapakuwi, kazi ya somo hiyo. Baada ya hapo anakuwa kishamzowea mume basi akiona kazi ni nyingi na hakuna hausigeli atamrai mumewe wachukuwe visichana vya ndugu wavilee hapo viwe vinasaidia kazi.
Uislam ni mwema sana.
Pia mara nyingi Waislam kiasili, mwanamke akiolewa anakuja kwenye nyumba yenye watu tayari, extended family. Hatuna ujinga ujinga wa kujidai na mila ambazo siyo zetu.
Bara hukoi utakuta mke utakuta mpya, bado hata u bi harusi haujamtoka aanze kujijaza moshi ya kuni jikoni? Khaa, hayo atamfanyia mwanawe akizaa, mume ni wa kulisha na kuvisha.
Kwanza kwetu hatutaki mchezo, mke anakaa kwao au awe kishajengewa ndiyo wanahamia kwake na mumewe. Hukuti hata siku moja kwetu tunaishi kwa mume. Kisa cha kunyanyaswa?Kwa Hilo hongereni sana
Una akili zinazofikiria kwa mtazamo mfupi sana, umechukua sample size ya waislam wachache wenye uwezo kiuchumi na ku generalize ni maisha ya waislam woteAnaowa zaidi hya mke mmoj na anawawekea ma hausigeli.
Halagu sisi tuna utaratiibu mmoja kwetu, sijuwi kwa wengine. Bi harusi siku 40 za fungate hapiki hapakuwi, kazi ya somo hiyo. Baada ya hapo anakuwa kishamzowea mume basi akiona kazi ni nyingi na hakuna hausigeli atamrai mumewe wachukuwe visichana vya ndugu wavilee hapo viwe vinasaidia kazi.
Uislam ni mwema sana.
Pia mara nyingi Waislam kiasili, mwanamke akiolewa anakuja kwenye nyumba yenye watu tayari, extended family. Hatuna ujinga ujinga wa kujidai na mila ambazo siyo zetu.
Bara hukoi utakuta mke utakuta mpya, bado hata u bi harusi haujamtoka aanze kujijaza moshi ya kuni jikoni? Khaa, hayo atamfanyia mwanawe akizaa, mume ni wa kulisha na kuvisha.
Uislam unafatwa 100% ambae haufati huyo ni mtu binafsi na ni mjinga mjinga kama wewe, Uislam upo na habadiliki.Huko ni kwa waislam wenye ukwasi mkuu.
Ila kiukweli kama uislam ungefutwa 100% ni mzuri ila baadhi yenu (na wewe ukiwemo) mnauharibu na kuupaka matope.
Nimetowa options chungu nzima, nisome vizuri ewe poyoyo.Una akili zinazofikiria kwa mtazamo mfupi sana
Unafkiri kila mtu ana uwezo wa kuweka house girl ? kusipokuwa na house girl ?
Lakini bado hata kukiwa kuna house girl kuna wanawake wa kiislam wengi tu wanayajua majukumu yao, wana enjoy kuwapikia waume zao vyakula, jukumu la kufua nguo za mwanaume ni lao pekee, wana enjoy kuiweka nyumba katika hali nzuri kwa usafi.... wamekuzwa na kufunzwa majukumu yao na wana enjoy kuyafanya.
Huyo atakuwa siyo Muislam.Wazazi waleeni watoto wenu vizuri wafundisheni kazi jamani tunakoelekea ni kugumu,matako na sura tu havitoshi kwenye ndoa.
Nina mifano mingi yaani watoto ndoa zimewashinda chanzo kikubwa ni uvivu na uchafu.Ngoja niishie hapa ila hali ni mbaya
Duuhh huko Kizimkazi bado mnapikia kuni?Anaowa zaidi hya mke mmoj na anawawekea ma hausigeli.
Halagu sisi tuna utaratiibu mmoja kwetu, sijuwi kwa wengine. Bi harusi siku 40 za fungate hapiki hapakuwi, kazi ya somo hiyo. Baada ya hapo anakuwa kishamzowea mume basi akiona kazi ni nyingi na hakuna hausigeli atamrai mumewe wachukuwe visichana vya ndugu wavilee hapo viwe vinasaidia kazi.
Uislam ni mwema sana.
Pia mara nyingi Waislam kiasili, mwanamke akiolewa anakuja kwenye nyumba yenye watu tayari, extended family. Hatuna ujinga ujinga wa kujidai na mila ambazo siyo zetu.
Bara huko utakuta mke tena mpya, bado hata u bi harusi haujamtoka aanze kujijaza mimoshi ya kuni jikoni? Khaa, hayo atamfanyia mwanawe akizaa, mume ni wa kulisha na kuvisha na kudekeza.
Mie nnapajuwaje Kizimkazi. Mimi kwetu mkuranga, shungubweni beach. tena kwetu kuni ni za mikoko. Ukipikia hizo kila mtu atauliza chakula umepikaje hiki? hajuwi siri ni moashi wa mikoko.Duuhh huko Kizimkazi bado mnapikia kuni?
Kwa kina Mwinyi huko eeh ? Naona kavuta mkristo kutoka Iringa, ndugu wa mke wanalamba vitengo, alafu nao watoto huwa wanawaona wajomba ni kama mama😀😀Mie nnapajuwaje Kizimkazi. Mimi kwetu mkuranga, shungubweni beach. tena kwetu kuni ni za mikoko. Ukipikia hizo kila mtu atauliza chakula umepikaje hiki? hajuwi siri ni moashi wa mikoko.
Khaa, ulitaka tupikie nini?
Kazi kwako.Kwa kina Mwinyi huko eeh ? Naona kavuta mkristo kutoka Iringa, ndugu wa mke wanalamba vitengo, alafu nao watoto huwa wanawaona wajomba ni kama mama😀😀