Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

kwanza mambo ya uchumbani kupikiana yanahusu nini? Hao siyo Waislam na kama ni Waislam basi hawafati Uislam wao.
 
Mie nnapajuwaje Kizimkazi. Mimi kwetu mkuranga, shungubweni beach. tena kwetu kuni ni za mikoko. Ukipikia hizo kila mtu atauliza chakula umepikaje hiki? hajuwi siri ni moashi wa mikoko.

Khaa, ulitaka tupikie nini?
Duh yani miharufu ya moshi tena kwenye chakula? Mtakuwa mnakula vyakula vya hovyo sana huko shungubweni.
 
Kwani uchumba ni ndoa?
 
Ahsante kwa kusema hili mkuu..!
Nina mfano hai kabisa ila nashindwa kuuweka hapa..!!
Hivi Depal unakumbuka hii issue..?
 
Usioe au kuolewa kwa tamaa za ngono...

Ndoa ni zaidi ya ngono..
 
Ahsante kwa kusema hili mkuu..!
Nina mfano hai kabisa ila nashindwa kuuweka hapa..!!
Hivi Depal unakumbuka hii issue..?
Katika threads zako? Nitajikumbushia
Bora tusaidike sisi ambao hatujui kitu oote 😂😂
 
Uislam unafatwa 100% ambae haufati huyo ni mtu binafsi na ni mjinga mjinga kama wewe, Uislam upo na habadiliki.

Wewe umeshaingia kuufata Uislam?
Labda kama ni kuswali ila mambo mengine wewe ni kilaza wa uislam.

Si unaona mwenyewe jinsi watu wengi wanavyokujia juu hapa jukwaani??
Una majibu mabovu, ya hovyo, unapenda ligi huku ukijibu watu kwa kuwakejeli.
Wakati uislam hauko hivyo, uislam ni unyenyekevu sio shari.

Wewe unamjibu mtu ili umkere na sio kumuelimisha, binafsi napenda kuelimishwa na sio kukerwa. Na mara nyingi siulizi ili unikejeli bali kutaka kujua tu lakini majibu yako yananyong'onyesha ari ya kuujua uislam

Unahubiri uislam kwa kutweza imani za wengine. Huo kwangu ni UJINGA.
 
Samahani. Nchi gani hii unaizungumzia nikatembee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…