Mwanaume unakunywaje lite?

Mkuu acha kujizalilisha, kumbe hujatembelea maeneo mengi kuna viwanja hizi local beer ni 7000
Mpaka nimeona aibu mimi,
Imebidi nimjibu ki ustarabu kabisa
 
Hennessy ni cognac,

Jagermaster ni liquor,

Sasa mbona mimi nazungumzia lite mkuu..
Embu kuwa logically Kwa post yako ,zote hizo ni pombe sasa wewe umedis wanywaji wa hiz pombe za lite.
Mimi natumia konyagi ila nawanunulia washkaji hata maji si vyema kuanza kupangiana kinywaji
 
Embu kuwa logically Kwa post yako ,zote hizo ni pombe sasa wewe umedis wanywaji wa hiz pombe za lite.
Mimi natumia konyagi ila nawanunulia washkaji hata maji si vyema kuanza kupangiana kinywaji
Kwani kuna sehem nimempangia mtu anywe bia gani?
Hilo bichwa lako ni mzigo
 
Dogo Kuna watu tunaoiga safiri Hadi kerti tatu tena zile kubwa. Yaani ni weka toa weka toa.
 
Hichi kiwanja kishaingia PT,wacha nibadilishe chaka
 
Mkuu mlainishie,hajui hata JD ni nini...

Jack Daniel...hizi ni za wanaume tu...
Lite kunyweni na dada zenu
Huwa tanywa jaki danieli na dada zetu. Issue ni kwamba. Lite tumekamilika na uanaume wetu na tunazigonga. Wewe thread yako imekaa kimbinu. Yaani unakunywa tuchuoa tu tatu unaenda kulala.
 
Ungenitupiapo hayo mabomu uliyokwisha kuset, Ningefurahi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…