Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu kuwa logically Kwa post yako ,zote hizo ni pombe sasa wewe umedis wanywaji wa hiz pombe za lite.Hennessy ni cognac,
Jagermaster ni liquor,
Sasa mbona mimi nazungumzia lite mkuu..
Kma ulivyo wewe mtamuutajua mwenyewe shauri yako utakua mtamu
Bia yangu pendwa hiyo; nikikosa hiyi nakunywa kili bariiiiidiWazee wa Safari Lager kubwa baridi tinacomment wapi ?
mi mgumu nagonga mpaka machozi ya simba, uwezi yajua.Kma ulivyo wewe mtamu
Kwahiyo hata wanaikunywa JD ni masikini?Kunywa lager au mapombe makali ni umaskini[emoji736].
PERIOD
Mbona unaonekan mtamu sanami mgumu nagonga mpaka machozi ya simba, uwezi yajua.
Kwani kuna sehem nimempangia mtu anywe bia gani?Embu kuwa logically Kwa post yako ,zote hizo ni pombe sasa wewe umedis wanywaji wa hiz pombe za lite.
Mimi natumia konyagi ila nawanunulia washkaji hata maji si vyema kuanza kupangiana kinywaji
Dogo Kuna watu tunaoiga safiri Hadi kerti tatu tena zile kubwa. Yaani ni weka toa weka toa.Maneno tu hayo hata kwenye kanga yapo.
Unakunywa lite . Uwanaume pesa sio kunywa tupombe tuwili umechoka hela huna.
Bucket 6 za serngeti lite na kitimoto. Mumsap apewe hennessy. Maisha yanaendelea. Sasa midume mmekaza mnakunywa lager eti ni uanaume. Mtakula sasa block na lager zenu.
Kvant to the subject brother. Mfano.Kwahiyo hata wanaikunywa JD ni masikini?
Kijana. Pia tupo watu tunaenjoy hizo lite. Unyama kabisa.Dogo Kuna watu tunaoiga safiri Hadi kerti tatu tena zile kubwa. Yaani ni weka toa weka toa.
😂😂😂😂😂😂😂
Huwa tanywa jaki danieli na dada zetu. Issue ni kwamba. Lite tumekamilika na uanaume wetu na tunazigonga. Wewe thread yako imekaa kimbinu. Yaani unakunywa tuchuoa tu tatu unaenda kulala.Mkuu mlainishie,hajui hata JD ni nini...
Jack Daniel...hizi ni za wanaume tu...
Lite kunyweni na dada zenu
Ungenitupiapo hayo mabomu uliyokwisha kuset, Ningefurahi zaidi.Wakulungwa,
Hivi serious unatoka unaenda agiza serengeti lite/castle lite/kilimanjaro lite na zingine zinazofanana na hizo?
Kweli?
Kweli?
Kweli?
Hata kama pesa ni yako, hizi lite si sawa na maji? Demu wako anywe lite na wewe lite? Si aibu hii?
Povu ruksa, Nishajikoki mabomu.