Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Wakuu,
Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha.
Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume?
Kwa mtoto wa kike sawa, kuvaa kwake hizo nguo ni moja ya tego kwetu vidume.