Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hahaha hata kuvuta bangi๐๐๐๐ umaskin ni laana kila jambo ni baya
Hahaha hata kuvuta bangi๐๐๐๐ umaskin ni laana kila jambo ni baya
Hizo sio haiba za Kiume, Unaume sio kuvaa suruali na kufuga ndevu ni jumla ya tabia na mienendo yoote ya kiumeMnajiaminisha upuuzi upuuzi tu. Kuna shida gani hapo sasa๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Wanaume mnajifunga funga sanaHahaha hata kuvuta bangi
Inabidi maneno yawe mazito ili waelewe haraka waache kiwadhalilisha wanaume wenzao mkuu.Mbona maneno makalio Sana aisee
Sasa mwanaume mchana uvae boxer na usiku uvae pyjama unataka kuwa mwanamke au shoga? Hebu mtuache kwanza jamani.Mnajiaminisha upuuzi upuuzi tu. Kuna shida gani hapo sasa๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
๐๐ Pesa ni nini?Wewe tafuta pesa bwashee ,ni kwamba hauna pesa ya kuweza kujiamiani full package, bwashee.
Hayo masharti ya mganga wako wa Ifakara huko sasaKwanza mwanaume hutakiwi kulala kitandani huo ni ushoga, mwanaume unatakiwa ulalie kirago cha ukili. Pili mwanaume unatakiwa uwe tayari kwa unyakuo hivyo yakupasa kulala uchi, mwisho mwanaume usioge Wala kunawa unatakiwa uwe kama msukule wa ushirombo
Mkuu uzi bado haujakamilika hebu edit. Mwanaume hutakiwa kulala na nguo zozote. Mchana mapumbu yabanwe na boxer na usiku tena uvae nguo za kawaida? NO! Sio sahihi. Hayo mavazi wakati wa kulala waachie wanawake mkuu.Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume?
Kulala uchi tena, kwa tulipofikia unakwaruliwa.Kwanza mwanaume hutakiwi kulala kitandani huo ni ushoga, mwanaume unatakiwa ulalie kirago cha ukili. Pili mwanaume unatakiwa uwe tayari kwa unyakuo hivyo yakupasa kulala uchi, mwisho mwanaume usioge Wala kunawa unatakiwa uwe kama msukule wa ushirombo
Umaskin ni mzigo wallah sasa mtu asilale na pajama maan ndio anachoongelea
Mkuu unalalaje na nguo kwenye kitanda cha ndoa kama upo safarini?Ni ushambenga na ushakunuku wa kikekike tu, mwanaume unatakiwa ulale kimachale chale ukiwa umevaa vesti tu na suruali ya kukurupuka usiku, hata hiyo uliyovaa inatosha kulalia
Mnajiaminisha upuuzi upuuzi tu. Kuna shida gani hapo sasa๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ