Hussie
Member
- Mar 4, 2025
- 18
- 35
Umaskin ni mzigo wallah sasa mtu asilale na pajama maan ndio anachoongeleaWanaume was Bongo hasa maskini, wakiwa wanatafuta ahueni kwenye validation ya uanaume wao.
๐๐๐๐
Umaskin ni mzigo wallah sasa mtu asilale na pajama maan ndio anachoongeleaWanaume was Bongo hasa maskini, wakiwa wanatafuta ahueni kwenye validation ya uanaume wao.
๐๐๐๐
Kwa hiyo Sisi ni maskini kwa sababu hatuvai pajama?Umaskin ni mzigo wallah sasa mtu asilale na pajama maan ndio anachoongelea
Hata wavuta shisha wanasema hivyo hivyo, ukiwa wewe huvuti wanakuita Majina kama haya, huna hela Mshamba,Umaskin ni mzigo wallah sasa mtu asilale na pajama maan ndio anachoongelea
๐๐๐si ndio zenu mkirudi job mnalala na boksa zenu mlizovaa asubui hapo ndio mnajiona wanaumeKwa hiyo Sisi ni maskini kwa sababu hatuvai pajama?
๐๐
Sisi maskini ni watu wachafu, ya kubadilisha tunaitoa wapi?๐๐๐si ndio zenu mkirudi job mnalala na boksa zenu mlizovaa asubui hapo ndio mnajiona wanaume
Inshort saivi kitu kam wewe hufanyi utaona kibaya kwa wengine ndio binadamu haoHata wavuta shisha wanasema hivyo hivyo, ukiwa wewe huvuti wanakuita Majina kama haya, huna hela Mshamba,
๐๐๐๐๐๐umenichekeshaSisi maskini ni watu wachafu, ya kubadilisha tunaitoa wapi?
Ukiona mwanaume ananunua nguo za kulalia, ujue huyo ni *****. Nguo zza kulalia ili iweje sasa?Wakuu,
Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha.
Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume?
Kwa mtoto wa kike sawa, kuvaa kwake hizo nguo ni moja ya tego kwetu vidume.
Sasa wanayofanya tukiwambia ni Kibaya wanatunanga na kutubagaza eti kwa vile Sisi ni maskini.Inshort saivi kitu kam wewe hufanyi utaona kibaya kwa wengine ndio binadamu hao
Mbona maneno makalio Sana aiseeUkiona mwanaume ananunua nguo za kulalia, ujue huyo ni *****. Nguo zza kulalia ili iweje sasa?
Wanaume kwanza huwa haitakiwi kulalaWakuu,
Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha.
Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume?
Kwa mtoto wa kike sawa, kuvaa kwake hizo nguo ni moja ya tego kwetu vidume.
Una bifu na ADF, M23 au MaiMai?Mwanaume unalalaje na suruali na vest..mwanaume unalala na overall, gumboots na helmet maana lolote linaweza tokea..
๐๐๐๐ukilala na bukta pia ***** nayo ya kulaliaUkiona mwanaume ananunua nguo za kulalia, ujue huyo ni *****. Nguo zza kulalia ili iweje sasa?
๐๐๐๐ umaskin ni laana kila jambo ni bayaSasa wanayofanya tukiwambia ni Kibaya wanatunanga na kutubagaza eti kwa vile Sisi ni maskini.
Hizi mambo hizi Acha Tu walimwengu.