Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Ili nilale.Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Mwanaume unalalaje na suruali na vest..mwanaume unalala na overall, gumboots na helmet maana lolote linaweza tokea..Ni ushambenga na ushakunuku wa kikekike tu, mwanaume unatakiwa ulale kimachale chale ukiwa umevaa vesti tu na suruali ya kukurupuka usiku, hata hiyo uliyovaa inatosha kulalia
Mwanaume wa hivi hata kuweka bulb anamuita fundiiWakuu,
Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha.
Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume?
Kwa mtoto wa kike sawa, kuvaa kwake hizo nguo ni moja ya tego kwetu vidume.
umewaza kama mimi.Wakuu,

AbunjuBunju π€£π€Wakuu,

Mkuu inaelekea exposure yako ni ndogo sana duniani.Wakuu,
Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha.
Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume?
Kwa mtoto wa kike sawa, kuvaa kwake hizo nguo ni moja ya tego kwetu vidume.
Hii ni akili finyu sana hususani watu wenye hali duni na kukosa exposure.Mkuu inaelekea exposure yako ni ndogo sana duniani.
Inaelekea umezoea kukaa Gongo la Mboto.
Ukipata nafasi kukaa nchi za baridi, sema Iringa au Mbeya, miezi ya June/July au nenda Ulaya kabisa mwezi Desemba hadi March, vaa lubega halafu utupe mrejesho!!
Umetoa hewa ya joto tu, hujaijibu hoja.Hii ni akili finyu sana hususani watu wenye hali duni na kukosa exposure.
Hakuna mahali walipo andika kwasababu wewe ni mwanaume unahitaji kuwa na limited access ya baadhi ya vitu.
Ndomana VIRAT KOHLI alisema, ukiwa huna hela hata uwezo wako wakufikiri unakua primitive .
Wakiwa na pesa one day watajiona walikua GABEGE sana.
Hii ni akili finyu sana hususani watu wenye hali duni na kukosa exposure.
Hakuna mahali walipo andika kwasababu wewe ni mwanaume unahitaji kuwa na limited access ya baadhi ya vitu.
Ndomana VIRAT KOHLI alisema, ukiwa huna hela hata uwezo wako wakufikiri unakua primitive .
Wakiwa na pesa one day watajiona walikua GABEGE sana.
Ngoja tuone mnapoelekea Sasa lπMwanaume unalalaje na suruali na vest..mwanaume unalala na overall, gumboots na helmet maana lolote linaweza tokea..
π€£π€£π€£π€£π€£Bro unafeli na kama sio kufeli basi ni exposure tu umekosa, kila mtu ana nguo ya kulalia hata wewe unayo tunacho tofautiana ni aina tu ya nguo. Kuna wanaolala na boxer tu, wengine bukta na vest, wengine pajama, wengine tracksuit mikoa ya baridi, mwengine analala na khanga ya mkewe, wengine uchi kabisa (hii hata mi sometimes nafanya nikiwa na mama yenu) Kwa kifupi hakuna mwongozo watu walale wanavyopendelea.
Mambo yanaanza hivi hivi, yananzia akiliniumewaza kama mimi.
unakuta kabisa li mwanaume lenye misuli na midevu mingi likienda kulala linavua nguo zote hadi boksa utadhani linaenda kutombwa ati anavaa nguo laini za kulalia, aisee inasikitisha sana
Cc Xi Jinping