Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

😂😂😂😂😂😂😢😂😂😂😂


Daaah 50/50 hii kitu mkuu
 
Mkuu

Pole

Sio wafupi tu Hata wa wastan Kama Mimi hawajiamini pia!

Umaskini na malezi duni huleta Hali dhalili kwa kujiona kama panzi kwa wengine!!

Hata wapelelezi wa nchi ya kanaani walijiona Hivyo kwa wale jamaa wakanaani!!

Haupo pekee yako Hata warefu pia wapo ivo Ivo!
 
Daaaah
 
Mtoa mada una hoja usikilizwe, mie kiukweli mwanaume naemzidi kimo simtaki sitamuheshimu, na wala hizo couple hazipendezi, home zipo couple kibao za hivyo ila sizielewagi
Kwa kweli hazipendezi
Unakuta wanapiga picha mwanamke kabend kiasi
Au mwanaume anasimama juu ya ngazi [emoji38]ili wawe sawa

Tafutaneni wafupi kwa wafupi jamani
Mtoto naye anatoka hivyohivyo mfupi,naye atakuja kutafuta mtu mfupi
Tudumishe ufupi,ufupi si dhambi
Na utofauti ndio raha yenyewe ya maisha
 
Hamna kitu Kama hicho acheni kuishi katika illusion

Mfano hapa watz 90% wote ni wafupi, na sisi warefu Kuanzia Futi sita hatuzidi hata 2% so kwa mantiki hiyo Hakuna kuoa/ kuolewa
"na sisi warefu kuanzia futi 6"[emoji1]

Naona umejipigia pande hapo, lakini ni nani alikuwa hiyo hesabu ya kutozidi 2% ?
 
ukiona hivyo ujue maumbile nyeti ni mrefu ndiyo sababu amependwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…