Mwanaume unatoa nyusi?


"BUNGENI, DODOMA: WABUNGE WALIOBANDIKA KUCHA NA KOPE MARUFUKU KUINGIA BUNGENI
Spika Job Ndugai amepiga marufuku Wabunge wenye kucha na kope za kubandika kuingia Bungeni huku akiendelea kuchukua maoni ya nini kifanyike kwa Waliojichubua"


Spika nae anashangaa shangaa,,hii ndio tabia ya Mtanzania halisi,kila kitu kwake kigeni,badala ya kukataza wanawake kuchichubua kitu ambacho kinaleta athari ya kiafya kwa mwaname,..

Spika anashangalia wanawake kujipamba,kila mwanamke anapenda kuonekana kapendeza,kucha,nywele,nyusi hata hao waliotushinda kimaendeleo wanawake zao wote wanabandika hivyo vitu....

Lazima watanzania tuheshimu uhuru wa mtu kujiamulia anachotaka kuvaa au kuweka katika mwili wake ilimradi hakina madhara yoyote katika afya yake
 
Heshima ya jinsia ya kiume inazidi kushuka kutokana na wanaume kutoka nje ya mstari wa uanaume wao!!!!:.....

Wanawake hawaoni tena uanaume kwa wanaume bali wanaona jinsi ya kiume kwenye taswira ya kike!!!...,.

Mwanaume anatakiwa awe hivyo hata kwa muonekano tu na sio kwa maumbile na sauti...moja ya muonekano huo ni ukakamavu Na ujasiri wa mwili na akili.....

Vijana wetu wanatakiwa kubadilika na kurudi katika mstari wa uanamume ili kuirudisha heshima inayopotea kwa kasi.....

Ukiona mpaka wanawake wenyewe wameanza kushangaa basi ujue mambo yamefikia pabaya
 
Mimi Niko huku shinabulandi hata kioo kwangu sina, maana mwanaume anaye kijua kioo huyo katokea sengerema.
Mkuu kua msafi ni wajibu wa kila binadamu ila usipite mipaka mpaka yakutoa nyusi mwanamme mzima..
 
hahahahahha baby mbona mie hizi zangu hujawahi niambia nitoe?

vibaya hivyo ujue kila wakati unapenda kuzichezea hata huniambii kuwa huwa zinatolewaga

ukirudi jioni na mimi unipeleke huko wanakoita Wax pls
Just because you're beautiful and perfect.

Ndio maana Hata sijasema kuhusu kutolewa huko.
 

Mkuu wifi yangu ni Mmasai na sijaona mmasai mwanamme akitoa malaika na wala kutoa nyusi,ni kweli hatuko sawa ndio mana nikasema huyu nilomuona mimi hajaelekea kua shoga ila alivyo fanya ndio vimenishangaza,tuishie hapa huenda nakukera sana manake sio kawaida.
 

Mkuu ni kweli maneno yako ila kuna wengine ukiziacha ni shidaaaa unakua mwili una nywele kama mtoto wa nyaniii hua sipendi kabisaaaaaaaaaaa.
 
Kujipamba sio ushoga,kuna mila nyengine wanaume ndio wanajipamba,wanawake wa kimasai kimila nywele zao zinakuwa fupi wanaume ndio wanajipamba kwa nywele refu zinazosokotwa,wanavaa herini nk,....ushishangae mambo ya watu yashangae yako,maisha ni mafupi sana,muda unakimbia kama upepo kama utashangaa shangaa ya watu,utachelewa kufanikiwa
 

Unajikera bure ivoo,mila za wengine hazinishughulishi na nimesema mapema inaweza kua umenijibu kwa haraka bila kusoma ukaelewa, nimeongelea wa TZ wengine ni wao,nywele ndefu fupi size ya kati haini shughulishi mie na wala sio nnalo liongelea, ila basi nimesha kuelewa wala usijitabishe.
 
thanks lavuu

Nakupenda sana tena sana, vile unanikubali vile nilivyo inaongeza upendo wangu kwako

It’s not the clothes that make you look beautiful. It’s YOU that make the clothes look beautiful.


i love u 2.
 
acha kusapot ujinga wewe hakuna uhuru bila mipaka vinginevyo ni vurugu, ujinga na matatizo kwa jamii yote, ujinga wako pekeakp utaleta balaa kwa jamii yote. kila nchi ina sheria zake. kwa hiyo we ukitaka uwe shoga basi serikali na jamii isikuchukulie hatua, unaenda ofisi za umma unavaa unavyotaka wewe haiwezekani fuata tamaduni na kanuni zilizopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…