Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shoga staff....wapo kibao mashoga kama huyoAngekua Taifa jengine ningeelewa labda utamaduni wao ila huyu lakini haelekei kua shoga.
hahaahahaHuyo akikaa karibu yetu twaweza jisahau tukamchezea makalio
sisi ndo tuko hivi sasa.
![]()
Mkuu kua msafi ni wajibu wa kila binadamu ila usipite mipaka mpaka yakutoa nyusi mwanamme mzima..Mimi Niko huku shinabulandi hata kioo kwangu sina, maana mwanaume anaye kijua kioo huyo katokea sengerema.
Just because you're beautiful and perfect.hahahahahha baby mbona mie hizi zangu hujawahi niambia nitoe?
vibaya hivyo ujue kila wakati unapenda kuzichezea hata huniambii kuwa huwa zinatolewaga
ukirudi jioni na mimi unipeleke huko wanakoita Wax pls
Yani its bad.Sio wanaume hao ni wanawake wenzenu tu
Mkuu sijakereka,niko hapa kueleweshana,mtazamo wetu watanzania ni mtizamo wa njia moja,kumbuka hatuwezi sote kuwa sawa,...nilichokiona mimi Watanzania tuna upeo mdogo sana wa kuheshima watu wengine na maisha yao,,tunapenda kushangaa na kukandia wengine bila ya sababu za msingi..
Hatuwashangai Wamasai kwasababuu tumewazoea,lakini kuna watu wengie wa Afrika Magharibi wanawaona wamasai watu wa ajabu sana..
Je ulikuwa unajua kuwa kabila la Kimasai mwanamme ndio anajipamba ili kumvutia mwanamke!?je kwako si ajabu hiyo,,Tujifunze kuwaheshimu watu wanavyoishi..
mkuuu kwahiyo unapigwa mambHata mfano mimi mchicha,...wewe unakuhusu nini !?? ni maisha yangu,...huwezi kunifahamu Mkuu,inategemea unaishi dunia gani,mimi na wewe tunaishi na tunafahamu mambo tafauti..
Ila hata mdada kufanya waxing pia unakosea,japo huyo shemale ndio kakosea mara kumi zaidi, vinyweleo vina kazi yake mwilini,ikiwa ni kuifanya ngozi yako ipumue na kuzuia baadhi ya bakteria kuingia mwilini mwako,pia huzuia miale ya jua yenye nguvu Kali kuingia mwilini mwako,ingawaje kibongo bongo huwa hatutakag kujua hayo mpaka siku ukianza kupatwa na magojwa ya ngozi ndio utaelewa kuwa kumbe hata kama una vinyweleo kama nguruwe vina kazi yake na umepewa vingi kulingana na nature ya ngozi yako
Naona unatoka nje ya Mada,jikite kwenye mada Mkuu,..mkuuu kwahiyo unapigwa mamb
Kujipamba sio ushoga,kuna mila nyengine wanaume ndio wanajipamba,wanawake wa kimasai kimila nywele zao zinakuwa fupi wanaume ndio wanajipamba kwa nywele refu zinazosokotwa,wanavaa herini nk,....ushishangae mambo ya watu yashangae yako,maisha ni mafupi sana,muda unakimbia kama upepo kama utashangaa shangaa ya watu,utachelewa kufanikiwaMkuu wifi yangu ni Mmasai na sijaona mmasai mwanamme akitoa malaika na wala kutoa nyusi,ni kweli hatuko sawa ndio mana nikasema huyu nilomuona mimi hajaelekea kua shoga ila alivyo fanya ndio vimenishangaza,tuishie hapa huenda nakukera sana manake sio kawaida.
thanks lavuuJust because you're beautiful and perfect.
Ndio maana Hata sijasema kuhusu kutolewa huko.
Kujipamba sio ushoga,kuna mila nyengine wanaume ndio wanajipamba,wanawake wa kimasai kimila nywele zao zinakuwa fupi wanaume ndio wanajipamba kwa nywele refu zinazosokotwa,wanavaa herini nk,....ushishangae mambo ya watu yashangae yako,maisha ni mafupi sana,muda unakimbia kama upepo kama utashangaa shangaa ya watu,utachelewa kufanikiwa
thanks lavuu
Nakupenda sana tena sana, vile unanikubali vile nilivyo inaongeza upendo wangu kwako
acha kusapot ujinga wewe hakuna uhuru bila mipaka vinginevyo ni vurugu, ujinga na matatizo kwa jamii yote, ujinga wako pekeakp utaleta balaa kwa jamii yote. kila nchi ina sheria zake. kwa hiyo we ukitaka uwe shoga basi serikali na jamii isikuchukulie hatua, unaenda ofisi za umma unavaa unavyotaka wewe haiwezekani fuata tamaduni na kanuni zilizopo.Lazima watanzania tujifunze na tufahamu Uhuru wa kujiamulia ili uishi maisha yako unavyotaka,...inabidi tujue mambo matatu katika dunia kuna kuzaliwa,kuishi na kufa....wasia wangu msiwe washamba wa kushanga shangaa kila kitu,kila mtu ana maisha yake ni vizuri kuishi kwa furaha kufanya kile unachokitaka kabla mauti hayajakufika....."wekeni hakiba ya maneno"
waooooo, am happy having you my loveIt’s not the clothes that make you look beautiful. It’s YOU that make the clothes look beautiful.
i love u 2.
waooooo, am happy having you my love