Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Hataki mtoto, anatak gharama zake alizotumia kuleaSasa baba mzazi atachukuaje mtoto wake bila kujitokeza, Baba mzazi hapangiwi muda wa kujitokeza anaamua yeye,
kulea mtoto wa mtu hakufanyi huyo mtoto awe wako, hapo anaetakiwa amkatae Baba yake mzazi ni mtoto ila sio wewe kung'ang'ania mtoto.
Gharama gani wakati yeye alikuwa amemuoa mama wa mtoto, na mtoto alikuwa kwa mama yake.Hataki mtoto, anatak gharama zake alizotumia kulea
Sasa mtoto ana kosa gani, unatumia Sheria ya talaka.Tanzania hakuna sheria ambayo imeweka bayana suala la partenity fraud kwamba ni hatua gani zichukuliwe pale inapobainika kuwa mwanamke amembambikizia mtoto mwanaume na kulea mtoto huyo akiamini kwamba ni wake.
Yaani hakuna kabisa sheria inayoangalia hili suala licha ya kwamba kesi kama hizi zipo nyingi sana na mahakama inalitambua hilo.. ila nafikiri halipewi uzito kwa sababu muhanga ni mwanaume na wanufaika ni mtoto na mwanamke.
Imagine umelea mtoto hadi amefika umri wa miaka 7 ukiamini kwamba ni wako, halafu ghafla anajitokeza jamaa akidai kuwa yeye ndio baba mzazi wa mtoto huyo na vipimo vikathibitisha hilo, ukienda mahakamani hupati msaada wowote zaidi tu ya kuambiwa nendeni mkakae muyamalize wewe,mama mtoto na huyo baba mzazi....inauma sana na ndio maana wengi huwa wanachukua maamuzi magumu kama vile kuondoa uhai wa mtoto.
Kwa wenzetu kule mfano kama jimbo la Florida partenity fraud ni kosa la jinai kama yalivyo makosa mengine tu na adhabu yake ni fidia kubwa sana au kifungo.
Kaka kuna wanaume wenzetu huwa wana ego za kipuuzi sana wakiona ndio uanaaume.Nadhan Huu ujinga ndo unawafelisha wengi wenu.
Demu kakuambia ana Mimba yako, umelea, kazaa, umesomesha, pengine Hadi Kawa mkubwa kwelikweli, Pesa mingi umetumia, alafu mwisho Baba mzazi anaonekana.
Yaan ukoswe mtoto, na Ukoswe na Fidia??
Kaka kuna wanaume wenzetu huwa wana ego za kipuuzi sana wakiona ndio uanaaume.Nadhan Huu ujinga ndo unawafelisha wengi wenu.
Demu kakuambia ana Mimba yako, umelea, kazaa, umesomesha, pengine Hadi Kawa mkubwa kwelikweli, Pesa mingi umetumia, alafu mwisho Baba mzazi anaonekana.
Yaan ukoswe mtoto, na Ukoswe na Fidia??
Wewe jamaa ni FALAA sana halafu kwa bahati mbaya hujijui... bila shaka hata elimu yako ni ndogo sana au huna kabisa hata hiyo elimu.Gharama gani wakati yeye alikuwa amemuoa mama wa mtoto, na mtoto alikuwa kwa mama yake.
Wewe jamaa ni FALAA sana halafu kwa bahati mbaya hujijui... bila shaka hata elimu yako ni ndogo sana au huna kabisa hata hiyo elimu.Gharama gani wakati yeye alikuwa amemuoa mama wa mtoto, na mtoto alikuwa kwa mama yake.
Ndio maana mimi siku hzi nikiona kijana kakataa mimba au mtoto huwa sikurupuki kumlaumu....maana serikali yenyewe ni kama imewa incetivise wanawake kuwambambikizia wanaume watoto.Sheria za masuala ya mahusiano na malezi zinalinda masilahi ya mwanamke na mtoto. Mwanaume anaangiliwa kama predator na mwanamke anaangaliwa kwa prey. Hii ndio sababu ya kukosekana njia za kumwajibisha mwanamke pale anapokua chanzo cha tatizo. Katika situation kama iyo mtaambiwa tu mkamalizane kifamilia nyumbani
Mwisho wa siku mnasikia kesi za mauaji!!Sheria za masuala ya mahusiano na malezi zinalinda masilahi ya mwanamke na mtoto. Mwanaume anaangiliwa kama predator na mwanamke anaangaliwa kwa prey. Hii ndio sababu ya kukosekana njia za kumwajibisha mwanamke pale anapokua chanzo cha tatizo. Katika situation kama iyo mtaambiwa tu mkamalizane kifamilia nyumbani
Wapi nimesema mtoto ana kosa? hebu nionesheSasa mtoto ana kosa gani,
sheria ya talaka inatumika vipi kwenye utapeli wa uzazi?unatumia Sheria ya talaka.
kumbe?Hapo unadai talaka ushahidi ni hicho kipimo cha DNA na huyu mwanaume aliyejitokeza
ujinga huu, nifungue kesi ya famanizi kwa mwanamke malaya ambapo tayari tumeshatalakiana...? Kinachofuata baada ya hapo ni yeye na huyo jamaa yake kunilipa fidia ya muda na gharama zote nilizotumia kumlea mtoto wao.ukishapata talaka ndo unafungua madai ya fumazi.
Ni wajinga kwa sababu hawathamini jasho lao, mimi kuliko kupotezea ni heri niwafanyie tukio ambalo hawatosahau maishani mwao!Wengi huwa wanaamua tu kupotezea
Kama mlishapeana talaka huyo sio mke unadai fidia tu.Wapi nimesema mtoto ana kosa? hebu nioneshe
sheria ya talaka inatumika vipi kwenye utapeli wa uzazi?
kumbe?
ujinga huu, nifungue kesi ya famanizi kwa mwanamke malaya ambapo tayari tumeshatalakiana...? Kinachofuata baada ya hapo ni yeye na huyo jamaa yake kunilipa fidia ya muda na gharama zote nilizotumia kumlea mtoto wao.
Ni wajinga kwa sababu hawathamini jasho lao, mimi kuliko kupotezea ni heri niwafanyie tukio ambalo hawatosahau maishani mwao!