Mwanaume unaweza kudai haki yako ya kulea mtoto siyo wako ukitambua ana baba mwingine?

Sasa baba mzazi atachukuaje mtoto wake bila kujitokeza, Baba mzazi hapangiwi muda wa kujitokeza anaamua yeye,

kulea mtoto wa mtu hakufanyi huyo mtoto awe wako, hapo anaetakiwa amkatae Baba yake mzazi ni mtoto ila sio wewe kung'ang'ania mtoto.
Hataki mtoto, anatak gharama zake alizotumia kulea
 
Sheria za masuala ya mahusiano na malezi zinalinda masilahi ya mwanamke na mtoto. Mwanaume anaangiliwa kama predator na mwanamke anaangaliwa kwa prey. Hii ndio sababu ya kukosekana njia za kumwajibisha mwanamke pale anapokua chanzo cha tatizo. Katika situation kama iyo mtaambiwa tu mkamalizane kifamilia nyumbani
 
Pole sana mkuu, mtoto hatakuja kukusahau km uliplay role yako vizuri.
 
Mbona Sheria ipo wazi someni Sheria ya ndoa unayo haki ya kuwafungulia kesi mkeo na huyo mwizi wake ukapata mtaji wa kutosha tu hata bilioni kumi.
Thus ukimfuma mtu na mme/mkeo usimuue huo ni mtaji umekutembelea kavute pesa kwa Sheria ya ugoni.
 
Sema wengi huwa wanaamua tu kuacha kwa maana mtoto Hana hatia hata kama sio wako Lea tu na msimwambie.
Kwenye ndoa Pana watoto wengi sana wa nje siri anajua mama mengine unapotezea tu
 
Mbona wazungu Wana adopt watoto na awajawazaa sema sisi wabongo ndo wenye akili za kutegemea watoto waje watusaidie hii inatoka wapi, mtoto kukusaidia ni hisani sio hiari hata maandiko yanakataa mzazi kulishwa na watoto ndo Yale ya kulaani mtoto kisa hajakusaidia.
Ina maana we mzazi kipindi mbezi beach, sinza masaki msasanj ni mapori ulikuwa kukamata hata heka moja upande shamba la miti Leo uuze vipande kwa bilioni 60
 
Sheria ya ndoa mtoto yeyeto anaezaliwa ndani ya ndoa haijalishi na baba au asiye baba halisi anahesabika ni mtoto wa aliyefunga nae ndoa hata kama ulizaa na mke wa mtu huna mamlaka ya kuchukua huyo mtoto labda kama umechoka kuishi au unazo pesa za kulipa fidia.
Kuzaa na mke wa mtu ni sawa na kujenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara
 
Wanawake Wana siri nyingi sana umelala kumbe unaishi na shetani wao wapo kimaslai zaidi, wengine uambiwa na mama zao ukoo wa mumewe ni wa kimasikini watarithi umasikini zaa na mwingine kwao ni tajiri ili wote wasiwe umasikini.
Laiti kama ukiweza kutap voice record ya mke wako na mama ukasikia mazungumzo yao ni njama dhidi yko huwezi ishi na mwanamke.
 
Kuna kesi hapo ya kujibu. Mwanamke ametumia utapeli kukudanganya kulea mtoto ambaye si wako.
 
Tanzania hakuna sheria ambayo imeweka bayana suala la partenity fraud kwamba ni hatua gani zichukuliwe pale inapobainika kuwa mwanamke amembambikizia mtoto mwanaume na kulea mtoto huyo akiamini kwamba ni wake.

Yaani hakuna kabisa sheria inayoangalia hili suala licha ya kwamba kesi kama hizi zipo nyingi sana na mahakama inalitambua hilo.. ila nafikiri halipewi uzito kwa sababu muhanga ni mwanaume na wanufaika ni mtoto na mwanamke.

Imagine umelea mtoto hadi amefika umri wa miaka 7 ukiamini kwamba ni wako, halafu ghafla anajitokeza jamaa akidai kuwa yeye ndio baba mzazi wa mtoto huyo na vipimo vikathibitisha hilo, ukienda mahakamani hupati msaada wowote zaidi tu ya kuambiwa nendeni mkakae muyamalize wewe,mama mtoto na huyo baba mzazi....inauma sana na ndio maana wengi huwa wanachukua maamuzi magumu kama vile kuondoa uhai wa mtoto.

Kwa wenzetu kule mfano kama jimbo la Florida partenity fraud ni kosa la jinai kama yalivyo makosa mengine tu na adhabu yake ni fidia kubwa sana au kifungo.
 
Sasa mtoto ana kosa gani, unatumia Sheria ya talaka.
Hapo unadai talaka ushahidi ni hicho kipimo cha DNA na huyu mwanaume aliyejitokeza ukishapata talaka ndo unafungua madai ya fumazi.
Wengi huwa wanaamua tu kupotezea
 
Kuna mdada alinicheki zamani sana na kuniambia anahisi ana mimba, nikamjibu hongera sana.
Akasema mimba yako hii nikamwabia kwani hio papuchi mimi peke yangu ndio nakula?.

Akasema mwanaume mshezi kweli wewe huna hata imani nikamwabia nitakuwa wapi na imani na mwanamke anae taka kufanya mtaji mimba asiekuwa nayo.
 
Nadhan Huu ujinga ndo unawafelisha wengi wenu.

Demu kakuambia ana Mimba yako, umelea, kazaa, umesomesha, pengine Hadi Kawa mkubwa kwelikweli, Pesa mingi umetumia, alafu mwisho Baba mzazi anaonekana.

Yaan ukoswe mtoto, na Ukoswe na Fidia??
Kaka kuna wanaume wenzetu huwa wana ego za kipuuzi sana wakiona ndio uanaaume.

Yaani mwanamke amekusingizia mtoto, umelelea mtoto wake huku moyoni akikung'ong'a mwisho wa siku anaamua kukunyang'anya huyo mtoto na kumpa baba mzazi.. halafu na wewe unaamua kupotezea ukiona kwamba eti ndio uaname? Kwamba kukubali kupoteza jasho lako bure bure ndio sifa ya mwanaume? Hii ego ya kipumbavu mimi inipite kushoto, nitamdai huyo mwanamke mpaka powder niliyomnunulia mwanae, silei ujinga mimi.

Watu wanashindwa kuelewa kadri tunavyoruhusu wanawake watufanyie partenity fraud bila kuwachukulia action yoyote ni ndio wao wanavyozidi kuliona hili ni suala la kawaida tu....ndivyo jinsi wanavyozidi kutubambikizia watoto kwa kujiamini kabisa maana wanajua hata ikija kubainika baadae hakuna repercusion yoyote inayowakuta sana sana mwanaume atapotezea tu na maisha yataendelea. Inasikitisha sana kwakweli
 
Gharama gani wakati yeye alikuwa amemuoa mama wa mtoto, na mtoto alikuwa kwa mama yake.
Wewe jamaa ni FALAA sana halafu kwa bahati mbaya hujijui... bila shaka hata elimu yako ni ndogo sana au huna kabisa hata hiyo elimu.

Yaani partenity fraud fidia yake ni mwanaume huyo(muhanga wa utapeli) kuishi na tapeli(partenity fraudster)???

Amavamu umeandika upumbavvu hili kutafuta sifa kwa malaya waliozoea kuwabambikizia wanaume mimba.
 
Gharama gani wakati yeye alikuwa amemuoa mama wa mtoto, na mtoto alikuwa kwa mama yake.
Wewe jamaa ni FALAA sana halafu kwa bahati mbaya hujijui... bila shaka hata elimu yako ni ndogo sana au huna kabisa hata hiyo elimu.

Yaani partenity fraud fidia yake ni mwanaume huyo(muhanga wa utapeli) kuishi na tapeli(partenity fraudster)???

Amavamu umeandika upumbavvu hili kutafuta sifa kwa malaya waliozoea kuwabambikizia wanaume mimba
Sheria za masuala ya mahusiano na malezi zinalinda masilahi ya mwanamke na mtoto. Mwanaume anaangiliwa kama predator na mwanamke anaangaliwa kwa prey. Hii ndio sababu ya kukosekana njia za kumwajibisha mwanamke pale anapokua chanzo cha tatizo. Katika situation kama iyo mtaambiwa tu mkamalizane kifamilia nyumbani
Ndio maana mimi siku hzi nikiona kijana kakataa mimba au mtoto huwa sikurupuki kumlaumu....maana serikali yenyewe ni kama imewa incetivise wanawake kuwambambikizia wanaume watoto.

Yaani serikali haijali chochote kuhusu mwanaume, lolote baya limkute na jamii bora haijengwi hivi hata siku moja.
 
Sheria za masuala ya mahusiano na malezi zinalinda masilahi ya mwanamke na mtoto. Mwanaume anaangiliwa kama predator na mwanamke anaangaliwa kwa prey. Hii ndio sababu ya kukosekana njia za kumwajibisha mwanamke pale anapokua chanzo cha tatizo. Katika situation kama iyo mtaambiwa tu mkamalizane kifamilia nyumbani
Mwisho wa siku mnasikia kesi za mauaji!!
 
Sasa mtoto ana kosa gani,
Wapi nimesema mtoto ana kosa? hebu nioneshe
unatumia Sheria ya talaka.
sheria ya talaka inatumika vipi kwenye utapeli wa uzazi?
Hapo unadai talaka ushahidi ni hicho kipimo cha DNA na huyu mwanaume aliyejitokeza
kumbe?
ukishapata talaka ndo unafungua madai ya fumazi.
ujinga huu, nifungue kesi ya famanizi kwa mwanamke malaya ambapo tayari tumeshatalakiana...? Kinachofuata baada ya hapo ni yeye na huyo jamaa yake kunilipa fidia ya muda na gharama zote nilizotumia kumlea mtoto wao.
Wengi huwa wanaamua tu kupotezea
Ni wajinga kwa sababu hawathamini jasho lao, mimi kuliko kupotezea ni heri niwafanyie tukio ambalo hawatosahau maishani mwao!
 
Wapi nimesema mtoto ana kosa? hebu nioneshe

sheria ya talaka inatumika vipi kwenye utapeli wa uzazi?

kumbe?

ujinga huu, nifungue kesi ya famanizi kwa mwanamke malaya ambapo tayari tumeshatalakiana...? Kinachofuata baada ya hapo ni yeye na huyo jamaa yake kunilipa fidia ya muda na gharama zote nilizotumia kumlea mtoto wao.

Ni wajinga kwa sababu hawathamini jasho lao, mimi kuliko kupotezea ni heri niwafanyie tukio ambalo hawatosahau maishani mwao!
Kama mlishapeana talaka huyo sio mke unadai fidia tu.
Labda ufanye tukio la giza la mwanga utakamatwa tu
 
Back
Top Bottom