Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Kwa hiyo ulikuwa unalala lodge na mkeo?!Kwa sisi tuliooa WACHAGA,
Suala la kulala ukweni ni MARUFUKU! Yaani SAHAU!
Kwanza binti akishaolewa, YEYE mwenyewe haruhusiwi kulala kwao, sembuse wewe??
Mimi alifariki baba mkwe, nililala lodge wiki nzima. Kila siku naenda msibani asubuhi, usiku narudi lodge kulala.