Mwanaume unawezaje kukataa? Mimi siwezi kukataa!.

Mwanaume unawezaje kukataa? Mimi siwezi kukataa!.

Nani anaweza kumkatalia mwanamke?

  • Siwezi kumkatalia mwanamke

    Votes: 7 41.2%
  • Je wewe unaweza?

    Votes: 6 35.3%
  • Vipi ikiwa wao ndo wangekuwa wanatutongoza?

    Votes: 4 23.5%

  • Total voters
    17
  • Poll closed .
We ni mvulana, wanaume gishapitia sana hizo mbanga, na hatukubali kibwege, unless awe mtu ambaye namkubali toka kitambo
 
Kama ni mwanaume unakubali kubali tu kila kitu, JITAFAKARI
Hajasema kila kitu; huyu katongozwa na mwanamke, halafu yaelekea mwanamke mwenyewe kamzidi umri (kam address kama mshangazi ) so kashindwa kukataa. Ukisoma kichwa cha habari cha story yake, ungeweza kuweka hivi, "Wanaume wenye wana uwezo wa kumkataa mwanamke akimtongoza anyooshe mkono" ukweli out of 10 men, huwenda 2 tu ndio venye wanaweza kushinda hili jaribu
 
Back
Top Bottom