Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Inashangaza sana
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee
Hivi ndo uwe wewe pisi imekutongoza unawezaje kuikataa?Kama ni mwanaume unakubali kubali tu kila kitu, JITAFAKARI
Hahah ila Numbisa 😂😂😂Inashangaza sana
Eti mkuuHivi ndo uwe wewe pisi imekutongoza unawezaje kuikataa?
Usikalili sikuhizi hatunywi chaiChai ya tangawizi inauzwa wapi hapo ferry?
Ya tangawizi ndo nataka mkuuUsikalili sikuhizi hatunywi chai
Pole kuna mbegectuYa tangawizi ndo nataka mkuu
Mbege inauzwa sehemu gani?Pole kuna mbegectu
Huku kwetu ni bureMbege inauzwa sehemu gani?
Uko wap kwa sasa??Huku kwetu ni bure
Kazini mkuuUko wap kwa sasa??
Okay bossKazini mkuu
HakikaKama ni mwanaume unakubali kubali tu kila kitu, JITAFAKARI
Tulikubaliana kuchanganya R na L ziishie kwenye Kiswahili tu.Nadhani we ndo utareft make kwenye maana unaongeza zaidi jitazame mkuu
Hajasema kila kitu; huyu katongozwa na mwanamke, halafu yaelekea mwanamke mwenyewe kamzidi umri (kam address kama mshangazi ) so kashindwa kukataa. Ukisoma kichwa cha habari cha story yake, ungeweza kuweka hivi, "Wanaume wenye wana uwezo wa kumkataa mwanamke akimtongoza anyooshe mkono" ukweli out of 10 men, huwenda 2 tu ndio venye wanaweza kushinda hili jaribuKama ni mwanaume unakubali kubali tu kila kitu, JITAFAKARI