Habari zenu jmn..
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari
Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa, sina HIV,
Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,
Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40 tu,
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,Kielimu minimum ni degree, usiwe na HIV,
Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Upatikane Mikoa ya Dar,Moro au Dom only
Zingatia sifa zote nnazotaka na ukiridhia za kwangu karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com