Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea vyema sana.Shida mnabadilikaga nyie mambo ya kuanza kupelekana ustawi wa jamii
Saa hizi unasema vizuri tu kwamba ni hiari kulea baadae uanze kumuendea jamaa kwa mkewe kuwa hatumi matunzo
Otherwise it's a good deal
Update vigezo mkuu 😁🤠Umri ❌
Degree ❌
Urefu ❌
Maji ya kunde ❌
Duh aiseeHabari zenu jmn..
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari
Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi- mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa
Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,
Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40(below 40 basi uwe mtu unayejielewa&unaelewa maisha),
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu,mweupe/maji ya kunde, uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,
Kielimu minimum ni degree,
Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom
Kama utapenda karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Una utani na lucas mzee wa kububujikwa na machozi 😀Zaa na uyu Lucas Mwashambwa ni MTU mzuri sana.tena mtazaa mnyiha mla panya na katoto kada ccccm
Sasa mkuu ukishaona mtu amekuja kutia huruma huku JF we unategemea kweli awe na nyash au sura ya kueleweka? Angekua nayo mbona zamani tu angeshazalishwa tangu yuko form 2 huko..😄😄Do you have a big buttocks?utafiti inaonesha 90%ya watanzania wanapenda wa dada wa hivo
Mie sina degree ila pesa ipo....vipi utanikubalia?Habari zenu jmn..
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari
Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi- mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa
Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,
Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40(below 40 basi uwe mtu unayejielewa&unaelewa maisha),
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu,mweupe/maji ya kunde, uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,
Kielimu minimum ni degree,
Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom
Kama utapenda karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Degree imeniengua bwana
Ukihitaji kuchanganya mbegu na tumbili unishtueHabari zenu jmn..
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari
Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi- mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa
Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,
Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40(below 40 basi uwe mtu unayejielewa&unaelewa maisha),
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu,mweupe/maji ya kunde, uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,
Kielimu minimum ni degree,
Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom
Kama utapenda karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
MhWeka picha yako, tuthaminishe madam. Umri umeenda ujue
Kuna ule uzi wa Baba niruhusu nizae mbona kama nikiunga dots naona unaendana kabisa na huu?Habari zenu jmn..
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari
Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi- mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa
Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,
Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40(below 40 basi uwe mtu unayejielewa&unaelewa maisha),
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu,mweupe/maji ya kunde, uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,
Kielimu minimum ni degree,
Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom
Kama utapenda karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Pamoja na umri wako huo kuwa mkubwa, bado ujajifunza nini maisha yanataka? Kiufupi ulichokiandika ni Nadharia tu, wala sio practical. Degree, urefu, maji ya kunde yanakusadia nini wewe kupata mimba na kuzaa?. Nakupa codes sasa bila unafiki, punguza masharti na ukipata mtu anayefikia 50% ya vigezo vyako, mnyakuwe faster kama mwewe, otherwise utaendelea kukomaa na kusinyaaa tu.Habari zenu jmn..