Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

Yaani ukitaka bastola au bunduki SI inatakiwa vibali ila Ile unanunua bila vibali yaani free... Nadhani sijaandika vizuri ila Nina maana hiyo
Nimekufaham, thanks
Siku nikienda Dar nitalitafuta hilo duka Insha'Allah
Sie wengine tunakaa makorokoroni vibaka kama wote
 
Kiasi cha pesa ,passport na silaha muhimu kwa mwanaharakati... Chochote kinatokea muda wowote, ukiwadhuru hao watekaji utageuziwa kibao au watajioanga kurudi kulipiza kisasi, namna ya kuepuka ni kutokomea kusikojulikana..
 
Yaani ukitaka bastola au bunduki SI inatakiwa vibali ila Ile unanunua bila vibali yaani free... Nadhani sijaandika vizuri ila Nina maana hiyo
Inatakiwa uwe na kubali cha kumiliki silaha ya moto
Kwaiyo laZima upate kibali ndo ununue
 
Pepper spray ni silaha ya moto... Kama Iko category hiyo basi Tanzania tuko nyuma sana maana hizo ni za kina mama kujilinda na wabakaji na vibaka huko mbele....
Hiyo haina shida
Niliimanisha bastola
 
  • Thanks
Reactions: rr4
51PSV+4IVAL._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
o zinaweza kufaa maana kwanza ni rahisi kubeba....
Wana hizi zinaitwa Teaser bei yake laki 2 zina uwezo wa kuruka na zinaweza hata kuua mawasiliano yao haya hapa 0222131484
 
Watu wanakuteka na silaha nzito wew na kakisu kako au kabastola utafanya nn
 
Back
Top Bottom