Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

Mwili wako vile vile ni silaha nadhani unanielewa nini nimemaanisha.
IMG-20241113-WA0055.jpg
 
Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni.
Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu!
Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami na kushinda ni lazima.

Sio kidume unatekwa, na watekaji wanatoka wananukia pafyumu. Lazima upasue mtu, umwage utumbo, ukate shingo. Mimi binafsi sijabahatika kumiliki silaha ya moto, lakini niko kwenye mchakato wa kuipata, iwe kihalali au kiharamu.

Kwa sasa, ninazo silaha za kutosha — majambia, mikuki, marungu, visu, na kadhalika. Popote nilipo, lazima beto iwe kiuononi kwenye mkanda na haikosagi. Huu utekaji umekuwa kama fashion siku hizi, kwa hiyo nawatahadharisha watekaji. Wakija kuniteka, lazima mmoja wao aimbe parapanda.

Mwanaume, popote ulipo, uko vitani, na silaha ni lazima kwa mwanajeshi.
Umenikumbusha kesho nimtafute masaai muuza mishale, maana mishale yangu alitokomea nayo mwizi wangu wa taa za gazi niliyemdunga siku moja usiku
 
Kama komando kipensi, wasiojulikana wanatembea na chamoto. Ukitoa kisu tu umerahisishia kazi utaitwa jambazi sugu wanamaliza shoo.
Hawa ni kucheza nao aikido au jiu jitsu
Unawachanganyia na Kapoeira na utilio wa Budokan
 
Omba tu usikutane na watekaji halisi, vibaka sawa unaweza kuzichapa na si vingenevyo.
 
Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni.
Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu!
Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami na kushinda ni lazima.

Sio kidume unatekwa, na watekaji wanatoka wananukia pafyumu. Lazima upasue mtu, umwage utumbo, ukate shingo. Mimi binafsi sijabahatika kumiliki silaha ya moto, lakini niko kwenye mchakato wa kuipata, iwe kihalali au kiharamu.

Kwa sasa, ninazo silaha za kutosha — majambia, mikuki, marungu, visu, na kadhalika. Popote nilipo, lazima beto iwe kiuononi kwenye mkanda na haikosagi. Huu utekaji umekuwa kama fashion siku hizi, kwa hiyo nawatahadharisha watekaji. Wakija kuniteka, lazima mmoja wao aimbe parapanda.

Mwanaume, popote ulipo, uko vitani, na silaha ni lazima kwa mwanajeshi.
Ngoja nikachungulie upinde wangu
 
Kumiliki silaha ni jambo la kwanza na kuweza kuitumia kwa umahiri na kwa usahihi ni jambo la pili.. Kwakuwa usipokuwa makini silaha yako mwenyewe inaweza kutumika kutoa uhai wako
Sahihi! Kuna ndugu yetu amejenga huko Mbweni ana siraha, wamevamiwa na majambazi siraha wamechukua ameshindwa hata kuifyatua.
 
Back
Top Bottom