Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

Yaani ukitaka bastola au bunduki SI inatakiwa vibali ila Ile unanunua bila vibali yaani free... Nadhani sijaandika vizuri ila Nina maana hiyo
Nimekufaham, thanks
Siku nikienda Dar nitalitafuta hilo duka Insha'Allah
Sie wengine tunakaa makorokoroni vibaka kama wote
 
Kiasi cha pesa ,passport na silaha muhimu kwa mwanaharakati... Chochote kinatokea muda wowote, ukiwadhuru hao watekaji utageuziwa kibao au watajioanga kurudi kulipiza kisasi, namna ya kuepuka ni kutokomea kusikojulikana..
 
Yaani ukitaka bastola au bunduki SI inatakiwa vibali ila Ile unanunua bila vibali yaani free... Nadhani sijaandika vizuri ila Nina maana hiyo
Inatakiwa uwe na kubali cha kumiliki silaha ya moto
Kwaiyo laZima upate kibali ndo ununue
 
Pepper spray ni silaha ya moto... Kama Iko category hiyo basi Tanzania tuko nyuma sana maana hizo ni za kina mama kujilinda na wabakaji na vibaka huko mbele....
Hiyo haina shida
Niliimanisha bastola
 
Reactions: rr4
Watu wanakuteka na silaha nzito wew na kakisu kako au kabastola utafanya nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…