Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

Umenikumbusha kesho nimtafute masaai muuza mishale, maana mishale yangu alitokomea nayo mwizi wangu wa taa za gazi niliyemdunga siku moja usiku
 
Kama komando kipensi, wasiojulikana wanatembea na chamoto. Ukitoa kisu tu umerahisishia kazi utaitwa jambazi sugu wanamaliza shoo.
Hawa ni kucheza nao aikido au jiu jitsu
Unawachanganyia na Kapoeira na utilio wa Budokan
 
Omba tu usikutane na watekaji halisi, vibaka sawa unaweza kuzichapa na si vingenevyo.
 
Ngoja nikachungulie upinde wangu
 
Kumiliki silaha ni jambo la kwanza na kuweza kuitumia kwa umahiri na kwa usahihi ni jambo la pili.. Kwakuwa usipokuwa makini silaha yako mwenyewe inaweza kutumika kutoa uhai wako
Sahihi! Kuna ndugu yetu amejenga huko Mbweni ana siraha, wamevamiwa na majambazi siraha wamechukua ameshindwa hata kuifyatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…