Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Miaka 70 unafikiri ni michache ukiwa na mateso nyumbani utafikiri ni miaka 100......tafuta mwanamke mtakae endena mbeleni acha kujifariji kwanini mkeo awe kama bibi wa watoto wako? Unaona so kutembea nae.

Wewe umebakisha miaka mingapi kufa Kama ni mingi haizidi 30 .

So don't waste ur time our days are numbered.
 
Wanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.

Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.

Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Tunza mkeo acha ukuda.
Hata ukioa mwrnye 16 usipomtunza atazeeka kukuacha
 
Tuachane kwanza na hilo la kuoana. Nani huyo alikudanganya utakuwa very active ukiwa kwenye 60 yrs?
Umri wa kuwa active ni wa ujana, usijibanebane ukajifungia kwa kukusudia utajifungulia tabia ukiwa senior citizen. Nyinyi ndio mnaooa mkistaafu.

Acha uzinzi kama tabia, sio unahifadhi uzinzi ili ulipize kisasi baadae. Mtakuja kuwa na watoto wakubwa alafu mfie lodge na vibinti vidogo kisa viagra za kuongeza performance.

Niligundua tabia ya kujibana ni mbaya baada ya kuona msururu wa wazee waliooa ukubwani wanakaa miezi michache wanafariki.
Mzee mambo ya ndani hata kwenye harusi alishindwa kusimama kula kiapo. Miezi michache mbele akakata kamba.

Nikaamini kumbe usipocheza utotoni ukamalizana na hiyo stage, ukiwa mkubwa unakuwa na utoto. Play safe

Ukifikisha miaka 60 unakuwa Una miaka 10 ya kuishi

Then ndo MTU unahangaika kuoa.

Maisha MTU unabidi kuishi to the fullest ilimradi usivunje mipaka ya MTU mwingine .

Unaweza kuwa na 30 ukaoa mwenye 50 it is possible
 
Wanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.

Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.

Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Msipende kuongea nadharia! Uliza badala ya ku conclude
 
Tuachane kwanza na hilo la kuoana. Nani huyo alikudanganya utakuwa very active ukiwa kwenye 60 yrs?
Umri wa kuwa active ni wa ujana, usijibanebane ukajifungia kwa kukusudia utajifungulia tabia ukiwa senior citizen. Nyinyi ndio mnaooa mkistaafu.

Acha uzinzi kama tabia, sio unahifadhi uzinzi ili ulipize kisasi baadae. Mtakuja kuwa na watoto wakubwa alafu mfie lodge na vibinti vidogo kisa viagra za kuongeza performance.

Niligundua tabia ya kujibana ni mbaya baada ya kuona msururu wa wazee waliooa ukubwani wanakaa miezi michache wanafariki.
Mzee mambo ya ndani hata kwenye harusi alishindwa kusimama kula kiapo. Miezi michache mbele akakata kamba.

Nikaamini kumbe usipocheza utotoni ukamalizana na hiyo stage, ukiwa mkubwa unakuwa na utoto. Play safe
Wacha tuzile mbususu tukiwa bado tuna nguvu aisee
 
Tunza mkeo acha ukuda.
Hata ukioa mwrnye 16 usipomtunza atazeeka kukuacha
Uzee kwa mwanamke ni uzee hata ufanyaje utamgundua tu hata kitabia kimawazo na kimaumbile mwanamke akiwa 60yrs kumlala ni kero na kumsumbua wakati wewe mwanakme at 60 unasimamisha kila asubuhi kwanini niteseke jomba?
 
Kwani hata kama ni 30, ni michache? Kwanini nakae na mwanamke wa makasiriko mda wote kisa ntakufa na mimi.

Waafrica mnajibana Sana wakati hampo busy na chochote.

Kikawaida you have nothing to offer that is way most of the time unawaza mawazo Kama hayo.

Kama Una 40+ means wewe umetumia robo tatu ya maisha yako

Unachobidi kufikiria ni kuwa ni kitu gani ntaiachia jamii yangu Kama ukumbusho.
 
Mkuu una ongelea kitu ambacho ni irrelevant kwa mada hi, kifo kipo pale pale uwe na mwanamke mzee au bint ila suala muhimu ni kwamba do you enjoye happiness katika ndoa yako? Mwanamke akiingia 60yrs anakua mgomvi sanaa hataki kukupa huduma muhimu anataka kukaa na wajukuu wake sio mme wake tena, ndo maana nasema pata mke mwenye age difference nzuri ukiwa bado mdogo usikurupuke na ma classmate au agemate.
 
Back
Top Bottom