Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Tusijisikie burudani na raha kivipi? Kwani kuna mtu alinichagulia? Mnaoa vitoto halafu mkitangulia kufa ndugu zenu waseme mmeuawa na wake zenu? Unaoa kitoto kina miaka 17 wewe una miaka 49 unategemea nini hapo?

Badilisha mtazamo huo.
Hilo ni tatizo, vitoto miyeyusho sana, unaweza kulazimika kutumia midawa ya miguvu ili ukaridhishe ukapata heart attack, vitoto nuksi
 
Hilo ni tatizo, vitoto miyeyusho sana, unaweza kulazimika kutumia midawa ya miguvu ili ukaridhishe ukapata heart attack, vitoto nuksi
Mkuu ukilenga kuridhisha mwanamke hutaweza utakufa bure wefanya unacho weza pata mke mnae endana ukiwa 35 tafuta wa 25, huyu utamweza, ila usitafute mzee wa 38, itakula kwa ko wanachoka mapema sanaa.
 
Inshu ni kumtumaini Mungu TU naye atatengeneza njia,,Usitegemee akili zako
Kaka usilete ishu za Mungu katika suala ambalo unatakiwa ulifanyie maamuzi na una uwezo halo. Ukiweza fata wazee wakueleweshe haya mambo, masuala ya kufunga na kuomba kwa Mwamposa yamejaa manyang'au ukiyaona unaona Mke kabisa, kumbe hamna kitu
 
Mkuu ukilenga kuridhisha mwanamke hutaweza utakufa bure wefanya unacho weza pata mke mnae endana ukiwa 35 tafuta wa 25, huyu utamweza, ila usitafute mzee wa 38, itakula kwa ko wanachoka mapema sanaa.
Ndio ni kuliridhisha unadhani ni kula mavazi na watoto pekee?! Kaka, tatizo tushatolewa nje ya mfumo, mafundisho ya ndoa church ni wenge tu, tulitakiwa tuelekezwe jinsi ya kuliridhisha litulizane. Hayatokagi nje kufata hela yanatokaga kufata mashine tu
 
Mtihani sana sheikhe kuoa kitoto.Muongo wa tano huu mimi nioe kitoto cha af mbili kweli?Nasty!
Mkuu hujanielewa mada yangu kama wewe ni wa 2000 oa cha 2000. Ila kama wewe ni wa miaka ya 90s kwanini uoe wa miaka ya 80s? hiyo ndo time bomb, labda kama wa kupita tu au unatafuta maokoto kwake ila ikiwa kwa ndoa hiyo ni kujitafutia ugomvi wa badaye.
 
Tusijisikie burudani na raha kivipi? Kwani kuna mtu alinichagulia? Mnaoa vitoto halafu mkitangulia kufa ndugu zenu waseme mmeuawa na wake zenu? Unaoa kitoto kina miaka 17 wewe una miaka 49 unategemea nini hapo?

Badilisha mtazamo huo.
Hii King Mswati ataipinga kwa evidence kabisa
 
Ndio sababu toka nyakati za zamani, kwenye ndoa Mwanaume lazima anamzidi umri mwanamke.

Zipo exceptions ambazo wanaishi vizuri tuu,

Ila formula bado ni Mwanaume awe mkubwa Mwanamke mdogo.
 
Back
Top Bottom