Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Miaka 70 unafikiri ni michache ukiwa na mateso nyumbani utafikiri ni miaka 100......tafuta mwanamke mtakae endena mbeleni acha kujifariji kwanini mkeo awe kama bibi wa watoto wako? Unaona so kutembea nae.


Wewe umebakisha miaka mingapi kufa Kama ni mingi haizidi 30 .

So don't waste ur time our days are numbered.
 
Tunza mkeo acha ukuda.
Hata ukioa mwrnye 16 usipomtunza atazeeka kukuacha
 





Ukifikisha miaka 60 unakuwa Una miaka 10 ya kuishi

Then ndo MTU unahangaika kuoa.

Maisha MTU unabidi kuishi to the fullest ilimradi usivunje mipaka ya MTU mwingine .

Unaweza kuwa na 30 ukaoa mwenye 50 it is possible
 
Msipende kuongea nadharia! Uliza badala ya ku conclude
 
Wacha tuzile mbususu tukiwa bado tuna nguvu aisee
 
Tunza mkeo acha ukuda.
Hata ukioa mwrnye 16 usipomtunza atazeeka kukuacha
Uzee kwa mwanamke ni uzee hata ufanyaje utamgundua tu hata kitabia kimawazo na kimaumbile mwanamke akiwa 60yrs kumlala ni kero na kumsumbua wakati wewe mwanakme at 60 unasimamisha kila asubuhi kwanini niteseke jomba?
 
Kwani hata kama ni 30, ni michache? Kwanini nakae na mwanamke wa makasiriko mda wote kisa ntakufa na mimi.


Waafrica mnajibana Sana wakati hampo busy na chochote.

Kikawaida you have nothing to offer that is way most of the time unawaza mawazo Kama hayo.

Kama Una 40+ means wewe umetumia robo tatu ya maisha yako

Unachobidi kufikiria ni kuwa ni kitu gani ntaiachia jamii yangu Kama ukumbusho.
 
Mkuu una ongelea kitu ambacho ni irrelevant kwa mada hi, kifo kipo pale pale uwe na mwanamke mzee au bint ila suala muhimu ni kwamba do you enjoye happiness katika ndoa yako? Mwanamke akiingia 60yrs anakua mgomvi sanaa hataki kukupa huduma muhimu anataka kukaa na wajukuu wake sio mme wake tena, ndo maana nasema pata mke mwenye age difference nzuri ukiwa bado mdogo usikurupuke na ma classmate au agemate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…