Mzee zaidi ya miaka 8,yupo kwenye makamera.Eli79 sasa kama Abdul alikua analala na mama nasib nyumbani kwa wazazi wake alipopata uchungu angebaki nyumbani na mamamkwe halafu majirani ndio wampeleke Amana!?
Mama Nasib kasema ni kweli alimpeleka hosp lakini hajawahi mlea nasib...... inaelekea mzee alikua analelewa yeye
VizuriD hajambo mkorea
Cc BehaviouristAnajisemeaga Espy Kama huna akili usiishi na mwanamke, shortly, louder and clear
Siku hizi naona unataka kunihamishia CCM!🏃🏃🏃😄
🏃🏃🏃Wewe ni broda, damu yangu.... Bonge la mwanaume mwenye misimamo yake
Sema tuu kwenye sekta hii umekomaa mnoo. Hutaki kabisa nipate wifi🤣🤣🤣🤣
Sema kumtombea kwaoNamlaumu mama Nasib kwa kumkubalia Abdul kuja kumnanihino nyumbani kwao. Huo ni ujinga na dharau kubwa sana kwao kama familia na hata kwa huyo Abdul japo hadi leo haoni kama hilo ni tatizo
Alipoondoka hakuwahi wasliana na mtoto wala mama hadi aliposikia umaarufu ndio akajongeaHii yote inaletwa na pesa. Domo angekuwa pangu pakavu kama mimi hapa. mzee Abdul asingehangaika kumtafuta.😀
Basi kama kuna single mama hapo karibu mwambie kuna single baba hapa pembeni anahitaji mfariji.Mi naona huyo Abduli anastahili yanayomtokea, diamond mwenyewe alishagasema huyo Abduli alimkataa mkavu live bila chenga, anaanza kutafuta huruma sababu ya umaarufu aliopata tu hana lolote,
Mwanamke akipenda anapenda kweli na akiacha anaacha
Alimtelekeza, akadanga akajiuza ili kumlea mwanae, mtoto kafanikiwa tumuache afaidi, tunaona matusi kwa singo mama's humu na kwenye jamii, si ajabu hata huyo Abduli alikuwa sehemu ya walionanga na kumdhihaki,
japo mama nasibu ana tabia za kiswahili ila km hizo drama zinampa ahueni na raha Basi wacha afaidi mali na umaarufu wa mwanae
Nimewaachia Mambo yao lakini hii ni reality ya maisha yetu sisi watanzania...huku mtaani kwenye mahusiano ni vurugu mtindo mmojaHeri uwe wa mwisho kuliko kufanya waliyofanya Abdul Jumaa
Mzee alifanya jambo la maana kutomlea huyo jamaa kwa sababu sio damu yake.
Mzee amezingua kujirudisha kipindi jamaa amekuwa maarufu anataka kula matunda ambayo alikataa kuhudumia.
(Ile familia nayo ina ujinga mwingi mambo mengine sio ya kuweka public wote hawana akili)