Mwanaume usikubali kuuza nafasi yako uliyopewa na Mungu kama kichwa cha familia, hata umpende mwanamke kiasi gani nafasi yako ndio heshma yako

Mwanaume usikubali kuuza nafasi yako uliyopewa na Mungu kama kichwa cha familia, hata umpende mwanamke kiasi gani nafasi yako ndio heshma yako

M
Eli79 sasa kama Abdul alikua analala na mama nasib nyumbani kwa wazazi wake alipopata uchungu angebaki nyumbani na mamamkwe halafu majirani ndio wampeleke Amana!?

Mama Nasib kasema ni kweli alimpeleka hosp lakini hajawahi mlea nasib...... inaelekea mzee alikua analelewa yeye
Mzee zaidi ya miaka 8,yupo kwenye makamera.
Alafu sijui anajishughulisha na nini?

Huyu yeye sasa hivi achane na makamera asimame kama mwanaume,hana uzee wa kusema hawezi kufanya kazi ,kama ikiwezekana apotezee awalee watoto wake aliowapata uzeeni,kama kweli kaonewa malipo hapa hapa.Ila kama kweli hakuyabeba majukumu basi anacho kipitia anastahili.

Au nae alikiwa Mario kama mzee Shamte,manake kwenye mahojiano ya SnS alisema,haiwezekani watu wasiojulikana wapate kingi kuliko yeye,kama ile nafasi ya Shamte bado anaitaka.
 
Namlaumu mama Nasib kwa kumkubalia Abdul kuja kumnanihino nyumbani kwao. Huo ni ujinga na dharau kubwa sana kwao kama familia na hata kwa huyo Abdul japo hadi leo haoni kama hilo ni tatizo
Sema kumtombea kwao
Huyo mama ni muhuni kwa nn alikubali kutombewa kwao Kama sio umalaya wake tuu
 
Hii yote inaletwa na pesa. Domo angekuwa pangu pakavu kama mimi hapa. mzee Abdul asingehangaika kumtafuta.😀
Alipoondoka hakuwahi wasliana na mtoto wala mama hadi aliposikia umaarufu ndio akajongea
Achilia mbali hayo mambo mengine Nampa mwanamke mwenzangu kwa kumlea mwanae hadi kumfikisha alipo
 
Sema kumtombea kwao
Huyo mama ni muhuni kwa nn alikubali kutombewa kwao Kama sio umalaya wake tuu
Huyo mwanaume aliyebeba rambo zake na kuhamia kwa wazazi gelofriend yeye tumwiteje🙄
 
Mi naona huyo Abduli anastahili yanayomtokea, diamond mwenyewe alishagasema huyo Abduli alimkataa mkavu live bila chenga, anaanza kutafuta huruma sababu ya umaarufu aliopata tu hana lolote,

Mwanamke akipenda anapenda kweli na akiacha anaacha
Alimtelekeza, akadanga akajiuza ili kumlea mwanae, mtoto kafanikiwa tumuache afaidi, tunaona matusi kwa singo mama's humu na kwenye jamii, si ajabu hata huyo Abduli alikuwa sehemu ya walionanga na kumdhihaki,
japo mama nasibu ana tabia za kiswahili ila km hizo drama zinampa ahueni na raha Basi wacha afaidi mali na umaarufu wa mwanae
Basi kama kuna single mama hapo karibu mwambie kuna single baba hapa pembeni anahitaji mfariji.
 
Mzee alifanya jambo la maana kutomlea huyo jamaa kwa sababu sio damu yake.
Mzee amezingua kujirudisha kipindi jamaa amekuwa maarufu anataka kula matunda ambayo alikataa kuhudumia.
(Ile familia nayo ina ujinga mwingi mambo mengine sio ya kuweka public wote hawana akili)
 
Heri uwe wa mwisho kuliko kufanya waliyofanya Abdul Jumaa
Nimewaachia Mambo yao lakini hii ni reality ya maisha yetu sisi watanzania...huku mtaani kwenye mahusiano ni vurugu mtindo mmoja
 
Walimvumilia muda mrefu na kumwomba sana aache kwenda kwenye media ila yeye akatumia Hilo jina kama fimbo kumchapa mama nasib na mwanae
Sasa mama kachoka utumwa
Mzee alifanya jambo la maana kutomlea huyo jamaa kwa sababu sio damu yake.
Mzee amezingua kujirudisha kipindi jamaa amekuwa maarufu anataka kula matunda ambayo alikataa kuhudumia.
(Ile familia nayo ina ujinga mwingi mambo mengine sio ya kuweka public wote hawana akili)
 
Back
Top Bottom