50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Kwa wazazi na walezi Mungu atupe busara ya kuweza kukuza vijana wa Kizazi kijacho.
Ni hatari sana familia na jamii inapokosa kiongozi na msimamizi
Amen 🙏🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wazazi na walezi Mungu atupe busara ya kuweza kukuza vijana wa Kizazi kijacho.
Ni hatari sana familia na jamii inapokosa kiongozi na msimamizi
Kumnanihino !!!Namlaumu mama Nasib kwa kumkubalia Abdul kuja kumnanihino nyumbani kwao. Huo ni ujinga na dharau kubwa sana kwao kama familia na hata kwa huyo Abdul japo hadi leo haoni kama hilo ni tatizo
Shujaa kwa wazinifu wenzie,,Mama Nasib ataendelea kuwa shujaa na malikia kwa watoto wake
Huyo mama mwehu ni wa kupuuzwa.Eli79 sasa kama Abdul alikua analala na mama nasib nyumbani kwa wazazi wake alipopata uchungu angebaki nyumbani na mamamkwe halafu majirani ndio wampeleke Amana!?
Mama Nasib kasema ni kweli alimpeleka hosp lakini hajawahi mlea nasib...... inaelekea mzee nae alikua analelewa tuu
Huyo mama mwehu ni wa kupuuzwa.
Alisema Mzee Abdul alimkuta akiwa na mimba ya miezi 6 lakini,
--Akakubali kulea mimba.
--akazaliwa mtoto akaitwa naseeb Abdul.
-- baada ya miaka 6 ya kuishi pamoja kama family,, mama diamond akarudi kwa Mzee Salum idd nyange..
Hyo ni baada ya ugomvi wa kurudi saa nane za usiku huku akiwa kalewa.
Iweje Mzee Abdul awe hajamlea diamond?
Hivi kipindi chote cha miaka 6 pamoja diamond alikuwa ananyonya? Au anakula nguvu za Mzee Abdul?
Huyo mama nikiangaliaga mdomo wake,,una jieleza yote ya sirini kwake.
Hivi hakuna mwanaume anayeishi ukweni lakini anafanya shughuli zake za kujiingizia kipato?Alikubali kulea wakati yeye mwenyewe alikua analelewa ukweni[emoji849][emoji849][emoji849]
Wapi alitafuta geto lake akambeba gelofriend kuishi nae!? Yaani wewe unatumia nyumba ya ukweni, chakula cha ukweni, kitanda cha ukweni, shuka ya ukweni, choo cha ukweni na bado unmtumia binti yao hadi unapasua vyombo huku mahari hujalipa hata thumni halafu umesema umenyonwa!?
mwandende Hebu acha kutetea huu uzembe, kemea tabia mbovu hizi ili Kizazi kijacho wajue madhara ya mwanaume kutokujielewa.
Ni kweli kabisa,,Haijalishi sisi tunamwonaje...... Watoto wake wanaelewa alikopita nae kuwafikisha walipo
Read my signature
Kabisa.Hii yote inaletwa na pesa. Domo angekuwa pangu pakavu kama mimi hapa. mzee Abdul asingehangaika kumtafuta.[emoji3]
Cc mrangi Missile of the NationMbona wameshaanza kujitetea mda sana😅😅
Umesahau zile kauli za kuwa wanawake wanapenda fweza..mdogomdogo nafikiri watafika kwa mzee Abdu
Kwahyo Mama D unatushauri vipi sisi walokole wa kiume?