kwani si inasemekana wao ndo wanaoa? au na wao wananunulia wapenzi wao losheni?Kwani wee umewaza nn had uwatajee hao? Si wanatunzwa na wanaume wao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha
Naam
Nadhani ndivyo alivyomaanisha Bi Zandile maana mkeo ndiye yule mpenzi wako umpendaye sana, mfanyie hayo yote.Hayo yote fanya kwa mkeo sio kichenchede
Katika ulimwengu huu wa 50/50 ambao mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta hela na kumiliki mali huwa sielewi kabisa mantiki ya mwanamke huyu kutaka kuhudumiwa.Hapana hii ni kubebeshana majukumu yasiyotuhusu kabisa, karne hii ya 50% kwa 50% kila mtu ajitunze mwenyewe, yaani mpenzi tu uhangaike hivyo kah!
Mwanaume kuhudumia mwanamke ni jukumu lake, hata wachepukaji huhudumia michepuko yaoKatika ulimwengu huu wa 50/50 ambao mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta hela na kumiliki mali huwa sielewi kabisa mantiki ya mwanamke huyu kutaka kuhudumiwa.
Karne ya sasa haina jipya, kila kitu kilianza zamanikarne yakina yakobo unalinganisha na karne ya sasa
Ukikua utaacha ujingaNikikuomba TIGO utanipa kabla sijalipa bills?
NipoHii itakuwa wiki ya nenda kwa usalama kwa wanaume ee!
Nimnunulie losheni kabla ya kuwa naye alikuwa anapaka grisi? hivi Halima mdee nani anamtunza au salama
HakikaYana ukweli maneno Yako kwa kweli mwanamke anaevua nguo na kukupa penzi kwa usiku au mchana mzima huna budi (Sina budi) kumhudumia
Ubarikiwe gentlemanYana ukweli maneno Yako kwa kweli mwanamke anaevua nguo na kukupa penzi kwa usiku au mchana mzima huna budi (Sina budi) kumhudumia
sawa mremboKarne ya sasa haina jipya, kila kitu kilianza zamani
Bila shaka wewe unaonekaa 50/50 imekukaa akiliniMnawafanya wanawake kama vilema aseee
Uliyoelezea kwa uchache ni mambo anafanyiwa mtu asiye na mikono/miguu
Sio kweli 50/50 ni kitu ambayo iko wazi haiwezekani,hii ikifuatwa mwanamke atakuwa na mengi ya kupotezaBila shaka wewe unaonekaa 50/50 imekukaa akilini
Mwanaume kamati hii...
Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi.
Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki.
Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote.
Jifunze kwa mwamba Yakobo..
Huyu mwamba alifanya kazi kwa miaka 14 ili kumpata mrembo Raheli. Na kisha akamfanyia kazi Raheli kwa kumtunza maisha yake yote.
Acha kukwepa majukumu yako man
Haki sawa kwa uhalisia haikuwa kwenye majukumu bali kwenye Elimu na vitu vingine kwamba mtoto wa kike asiachwe nyuma.Sio kweli 50/50 ni kitu ambayo iko wazi haiwezekani,hii ikifuatwa mwanamke atakuwa na mengi ya kupoteza
Kilichonikaa akilini ni kusaidiana...sio majukumu fulani ni LAZIMA yafanywe na fulani
Ila hii agenda mnaipush nyinyi na NGO zinawasaidia sana kupush kila siku, ila sasa kuiweka kwenye reality na kuiishi ndipo mnaposhindwa.Sio kweli 50/50 ni kitu ambayo iko wazi haiwezekani,hii ikifuatwa mwanamke atakuwa na mengi ya kupoteza
Kilichonikaa akilini ni kusaidiana...sio majukumu fulani ni LAZIMA yafanywe na fulani