Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

Sasa mkuu nkiombwa hela au zawadi, niseme sina au vipi '? Mkuu😅😅
 
Watu wengi hufikiri wanawake wanavutiwa na wanaume ambao ni nice, wenye mali, nyumba, magari, anayejali na vitu kama hivyo. Ukijaribu kumuuliza mwanamke mmoja mmoja ni aina gani ya mwanaume anamhitaji, asilimia kubwa watakuambia tunahitaji mwanaume ambaye ni nice, anayenipa pesa, anayetuma na ya kutolea, mwenye six packs n.k n.k

Wanaume wengi wamejikita kutaka kutimiza yale mwanamke anayoyataka ili waweze kuwavutia, kuna watu wanashinda gym ili kuwavutia wanawake, kuna watu wanatuma na ya kutolea ili wawavutie wanawake, kuna watu wanakubali kila mwanamke anachomwambia ili wawavutie wanawake lakini m
Hii kitu wanaume wengi hawajui. Nahisi pia malezi na kujifunza kupitia kwenye TV kuna fanya wanaume wawe weak sana kwa wanawake.

Kijana wa 20-24 unakuta analia juu ya mapenzi, eti kisa ameachwa na kidemu ambacho value yake inashuka.
 
Alpha males, au players au jerks na majina mengine wanayoitwa wamefanikiwa kuwa hivyo walivyo kwa sababu wameweza kucontrol hisia zao.

Unajua ni kwanini wanaume wengi wanadate na wanamke ambao hawakuwapenda sana ila ikitokea kuna mwanamke amempenda sana anashindwa kumpata, ile treatment na attention wanayotoa kwa mwanamke anayempenda inakuwa imepitizia hadi mwanamke anaona amekutana na fala mwingine wa kumwendesha.

Ila kwa yule ambaye hakumpenda sana anamtreat tu kawaida maana si anajua potelea mbali hata akinikataa simpendi sana cha ajabu anashangaa mwanamke huyu ndo anamkubali kwa moyo wote. Mwishowe malalamiko yanakuwa mengi kwanini mimi niwapate tu ambao siwapendi sana na sisi wanaume nhatujuagi kukataa hivyo unaamua kustay naye hivyohivyo kibishi.

Nice guys siku zote huishia pabaya
Nice guys masturbate...real men get laid
Kudos mwamba...👏
 
Watu wengi hawajazoea haya maisha wanaweza wakakuona unapingana na haki za wanawake lakini kumbe ni utaratibu uliokuwepo tangu mwanzo wa maisha ya mwanadamu, mwanaume kama kiongozi kama mtawala na ulikuwepo hasa nyakati za wafalme.
We are deeply affected na social conditioning...
You gotta bend the rules...😎
 
Watu wengi hufikiri wanawake wanavutiwa na wanaume ambao ni nice, wenye mali, nyumba, magari, anayejali na vitu kama hivyo. Ukijaribu kumuuliza mwanamke mmoja mmoja ni aina gani ya mwanaume anamhitaji, asilimia kubwa watakuambia tunahitaji mwanaume ambaye ni nice, anayenipa pesa, anayetuma na ya kutolea, mwenye six packs n.k n.k

Wanaume wengi wamejikita kutaka kutimiza yale mwanamke anayoyataka ili waweze kuwavutia, kuna watu wanashinda gym ili kuwavutia wanawake, kuna watu wanatuma na ya kutolea ili wawavutie wanawake, kuna watu wanakubali kila mwanamke anachomwambia ili wawavutie wanawake lakini mwisho wake watu hawahawa wanatendwa na wanabaki wakijiuliza, mbona nilikuwa najitoa, natuma na ya kutolea na bado nimekuwa dumped tena
Kusema na ukweli Wanaume tutafika kwaheaven tumechoka sana
 
Alpha males, au players au jerks na majina mengine wanayoitwa wamefanikiwa kuwa hivyo walivyo kwa sababu wameweza kucontrol hisia zao.

Unajua ni kwanini wanaume wengi wanadate na wanamke ambao hawakuwapenda sana ila ikitokea kuna mwanamke amempenda sana anashindwa kumpata, ile treatment na attention wanayotoa kwa mwanamke anayempenda inakuwa imepitizia hadi mwanamke anaona amekutana na fala mwingine wa kumwendesha.

Ila kwa yule ambaye hakumpenda sana anamtreat tu kawaida maana si anajua potelea mbali hata akinikataa simpendi sana cha ajabu anashangaa mwanamke huyu ndo anamkubali kwa moyo wote. Mwishowe malalamiko yanakuwa mengi kwanini mimi niwapate tu ambao siwapendi sana na sisi wanaume hatujuagi kukataa hivyo unaamua kustay naye hivyohivyo kibishi.
Hahahahahhhaaaaa... duh!
 
Kua kama vile haumhitaji, ficha hisia.
Kuna wakati ukijifanya kama humuhitaji na yeye anakupotezea mazima mazima sasa unabaki unaumia wewe kidume.

Utafanyaje endapo unampenda mtu ambaye hujazoeana nae,ukisema umpotezee hatojua kamwe kama unamtaka,mtu kama huyo unatuamia njia gani kumvuta ?
 
Akienda unachukua mwingine, kwani warembo wameisha?
 
Back
Top Bottom