plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,434
- Thread starter
- #81
Nope sio kuwekeza, wanaowekeza ndo huumia. Kama mimi hua nasaidia kama vile ambavyo ningemsaidia rafiki yangu bila kutarajia chochote toka kwake.
Kama ni kiasi kikubwa ambacho labda ni hadi nimkopee hapo siwezi kumpa ntamwambia sina.
Vipi na yeye anakusaidia ukikwama? Au yeye ni mtu wa kupokea tu