plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,434
- Thread starter
- #41
Sasa kama waliowapenda wamewatema kwa uzembe wao, inabidi wachukue huyohuyo wasiyempenda.Na Asilimia Kubwa ya Wanaume walioko kwenye Ndoa Wameoa Wanawake Wasiowapenda.. yaani wale Waliowaona siyo type Yao, wale Waliowaona ni Wa kuchapa na kusepa ndo wameishia kuwaoa na Kuwa Mama wa Watoto wao.