Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

Sasa mkuu nkiombwa hela au zawadi, niseme sina au vipi '? Mkuu😅😅
 
Hii kitu wanaume wengi hawajui. Nahisi pia malezi na kujifunza kupitia kwenye TV kuna fanya wanaume wawe weak sana kwa wanawake.

Kijana wa 20-24 unakuta analia juu ya mapenzi, eti kisa ameachwa na kidemu ambacho value yake inashuka.
 

Nice guys siku zote huishia pabaya
Nice guys masturbate...real men get laid
Kudos mwamba...👏
 
Watu wengi hawajazoea haya maisha wanaweza wakakuona unapingana na haki za wanawake lakini kumbe ni utaratibu uliokuwepo tangu mwanzo wa maisha ya mwanadamu, mwanaume kama kiongozi kama mtawala na ulikuwepo hasa nyakati za wafalme.
We are deeply affected na social conditioning...
You gotta bend the rules...😎
 
Kusema na ukweli Wanaume tutafika kwaheaven tumechoka sana
 
Hahahahahhhaaaaa... duh!
 
Kua kama vile haumhitaji, ficha hisia.
Kuna wakati ukijifanya kama humuhitaji na yeye anakupotezea mazima mazima sasa unabaki unaumia wewe kidume.

Utafanyaje endapo unampenda mtu ambaye hujazoeana nae,ukisema umpotezee hatojua kamwe kama unamtaka,mtu kama huyo unatuamia njia gani kumvuta ?
 
Akienda unachukua mwingine, kwani warembo wameisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…