Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

Maisha ni Kubalance mambo
Mix Little care with little pain

Usiwe Dont care sana to the maximum huo nao ujinga tuu

Na usiwe caring sana huo nao ni Ulofa

Jijali na wewe wajali na wao kidogoo kwa namna fulani ili uonekane social

Tafuta BALANCE ya mambo

Virtue is in the middle,Plato.
Avoid EXCESS
Avoid DEFICIENCY

BALANCE mambo, usiwe mjinga na usiwe Mjuaji yote ni mapungufu

Wahuni wanasema Kubalance Shobo!

Na pia Siyo kila Mwanamke atakukubalia na Siyo kila Mwanamke atakukataa kama ambavyo huwezi kuwa na amani na Watu wotee.

Mfano P square wakikwenda kuperfom Kwenye nchi moja ipo huko West Africa sasa kwa namna walivyokua wanahit wakajua basi wanaweza kupata Demu yoyote wanaemtaka

Peter akamuona dada mmoja kwenye Crowd baada ya Show akamuapproach yule manzi lakini cha kushangaza manzi akamchana za uso
Manzi alikua na msela wake wa kawaida ambaye alikua anamuelewa sana,

Peter akaambiwa, “ just because you are famous and rich don’t think that you can sleep with any girl you want” na manzi akasepa na msela wake!

Hivyo Siyo Wote watakuelewa ila cha msingi Balance Shobo usiwe Alpha Sana wala usiwe Beta sana zaidi utawachukia wanawake bure!
 
Huyo msichama phaller tu, kwanza hii habari haina uhakika

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi upo sahih [emoji817][emoji817] ukiushikilia na kuuelewa vzur
 
Naunga mkono Hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…