Mwanaume usiye na kazi usipende!

Tatizo la mapenzi huwezi kusema usubiri upate pesa/ufanikiwe ndio uanze kupenda, kumpenda mtu ni bahati unapoipata shukuru mungu maana unaweza kuwa billionaire leo lakini hautakujua utamu wa kupenda mtu
Kupenda si unapenda tu, shida ni kupendwa na huyo unayempenda ndo kipengele
 
Amn kwamba mkuu
 
Hakuna kitu kinaitwa unconditional love, hata Mungu hajaweza kutupatia unconditional love...iwe kwa hawa wanawake?
Hayo mashairi yao hayafanyi kazi ukija uwalisia
 
All in all alosema mtoa mada ni ukweli mtupu yani kama mimi mbususu napewaga mwsho wa mwezi nikishapata visent vyangu kama MP tu maaee
Ni kweli mkuu utakuta ukimuitaji katika ya mwezi haji ana jibu nipo Bize lakini akiona tarehe za mwisho wa mwezi utaona sms, Mambo?.
 
Jobless sisi Ni kujizuia tu kwa mwez tunatomb* Mara moja pale tunanunua Dem bajet 10k imeisha iyo tukutane mwezi ujao hakuna kuweka kambi mapenz Ni pesa tusije dhalilika
 
Ni kweli mkuu utakuta ukimuitaji katika ya mwezi haji ana jibu nipo Bize lakini akiona tarehe za mwisho wa mwezi utaona sms, Mambo?.
Tutafka tu lkn[emoji1787]
 
Jobless sisi Ni kujizuia tu kwa mwez tunatomb* Mara moja pale tunanunua Dem bajet 10k imeisha iyo tukutane mwezi ujao hakuna kuweka kambi mapenz Ni pesa tusije dhalilika
Tuishi humo [emoji23][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…