Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam mkuu[emoji1666][emoji1666]technically hakuna mwanamke jobless ila wapo tu ambao hawana kazi maalum, ukimwona hajaajiriwa au hana mishe yeyote usijidinganye kuwa ni hadhi yako, utashangwazwa nakuhakishia, ATAKUSHANGAZA.
Nakazia[emoji4][emoji3578]
Sikupingi mkuu[emoji1666][emoji1666]KWA sasa
Mahusiano Ni gharama,
Mahusiano yanahitaji uendeshaji,
Huna hela kaa TU kushoto wenzio wasongeshe gurudumu
Nakazia mkuu, nakaziaaaa[emoji1666][emoji1666]Usijalibu kupingana na mtoa mada ukauacha uhalisia.
Hata hao wanaotaka kuolewa,
Hakuna mwanamke anataka kuoelwa na jobless
Ukiona yupo,
Basi ujue Hana option Zaid ya hiyo.
Na ikipatkana Basi hiyo ndoa lazima iote mbawa
Afadhali umenisaidia kumwelewesha chief[emoji1666]Mtoamada hajasema usigonge, kasema usipende.
Anaweza akagongwa na wewe ila hakupendi.
Hata wewe unaegonga Dem wa mwenye pesa huna confidence ndo maana utaish na dem kama digidigi
Sahii kabisa,Natafuta 10k, naenda site nachukua mzigo wa 5k napiga narudi zangu home mwepesi, nyie mnaotaka kupetiana endeeni kufilisika[emoji16]. Mahusiano ni hasara kwa Me na faida kwa Ke.
Hakuna Ke anaridhika hata umpe nini, siku ukianguka kiuchumi huna rangi utaacha ona.
[emoji28][emoji28][emoji1666]Usitafute hela ili uwe na mwanamke wewe tafuta hela ili uishi maisha mazuri uyapendayo.
Ila uzi umetulia, uekwe kwenye ilani ya uchaguzi 2025
Lisipewe Hela[emoji23][emoji1787]Na wakipenda kupewa pesa, wajue pia kutoa shoo nzuri zinazohamasisha; sio jitu linakuja linakaa kaa tu likingojea kifo cha mende au mpaka ageuzwe geuzwe.
Hata Michepuko nayo iko kwny nipe nikupe, no investment.Halafu kwa nini utafute pesa ili umfurahishe Ke, tafuta kwa ajili yako na furaha yako.
If possible ingia kwenye mahusiano ya "nipe nikupe", ukimhitaji unaandaa fungu lako, unaenda kuweka na kulipia huduma..mkimalizana kila mtu na hamsini zake, mmoja akimmiss mwenzake mnatafutana and it goes on like that.
Wekeza kwa Ke halafu utakuja kulia wallah!!
"KUKOJELEA PAZURI" Kila mwanaume [emoji1666][emoji1666]Brother,
siogopi Kufilisika,Kufilisika kupo TU.
Na siwez kula/kuoa pisi mbovu eti naogopa ntachapiwa nkifilisika, wanwake wazur wengi sana mkuu wanazaliwa daily.
Nikichapiwa nafukuza naleta pisi nyingine,
Sikuzaliwa naye tumbo moja yule, As long as pesa IPO, ntajichagulia mrembo nnaemtaka atachukua nafasi yake.
Mkuu,
Sitafuti pesa ili niteseke,
Pesa inapaswa inifanye nifurahie maisha.
Mwanamke wa kunipasua kichwa na Hana Cha ziada nnachofaidi kwake namtupilia kushoto tu akifilie mbali uko.[emoji4]
Mwanamke Ni ua,
Mwanamke Ni urembo wa nyumba
Mke au demu wangu lazima anivutie nikimtizama ndo mambo mengn yatafata.
Kukimbiwa ukifilisika ni matokeo, waliosema
"filisika tujue tabia ya mkeo"
Au
"mwanaume pata pesa tuijue tabia yako"
Hawakua wajinga,
Huenda unayasema haya kwasababu hujapata pesa,
Ila nakuapia siku ukizipata hutotaka kula pisi mbovu, otherwise pesa zako za ndagu
KILA MWANAUME NDOTO YAKE KWANZA NI KUKOJOLEA PAZURI,MENGINE YATAFATA[emoji4]
Vijana wanajisahaulisha Sana Hilo mkuu"KUKOJELEA PAZURI" Kila mwanaume [emoji1666][emoji1666]
Poa[emoji23]Umesema kweli jobless
[emoji1666][emoji1666]Umetema madin Sana mkuu
Sawa tutatafuta ila mtupee mara moja moja[emoji39]Tafuteni hela kwanza, achaneni na mapenzi
[emoji1666][emoji1666]
Facts[emoji1666]Natafuta 10k, naenda site nachukua mzigo wa 5k napiga narudi zangu home mwepesi, nyie mnaotaka kupetiana endeeni kufilisika[emoji16]. Mahusiano ni hasara kwa Me na faida kwa Ke.
Hakuna Ke anaridhika hata umpe nini, siku ukianguka kiuchumi huna rangi utaacha ona.
Sawa don[emoji28]Alafu mwanaume unakosaje kazi ya kufanya?
Ukiona huwez pata kazi basi hata mwanamke ukimpata kakuhurumia tu.
Mm nikishajua dem ana mshkaji asie na kazi nampa mambo mawili maisha safi na pesa lazima mjinga wake atoe chozi
Naunga hoja mkono[emoji1666]Halafu kwa nini utafute pesa ili umfurahishe Ke, tafuta kwa ajili yako na furaha yako.
If possible ingia kwenye mahusiano ya "nipe nikupe", ukimhitaji unaandaa fungu lako, unaenda kuweka na kulipia huduma..mkimalizana kila mtu na hamsini zake, mmoja akimmiss mwenzake mnatafutana and it goes on like that.
Wekeza kwa Ke halafu utakuja kulia wallah!!