Mwanaume usiye na kazi usipende!

Mwanaume usiye na kazi usipende!

Nakubalian na ww, usitafute hela kufurahisha mtoto wa kike
 
technically hakuna mwanamke jobless ila wapo tu ambao hawana kazi maalum, ukimwona hajaajiriwa au hana mishe yeyote usijidinganye kuwa ni hadhi yako, utashangwazwa nakuhakishia, ATAKUSHANGAZA.

Nakazia[emoji4][emoji3578]
Naam mkuu[emoji1666][emoji1666]
 
Usijalibu kupingana na mtoa mada ukauacha uhalisia.

Hata hao wanaotaka kuolewa,
Hakuna mwanamke anataka kuoelwa na jobless

Ukiona yupo,
Basi ujue Hana option Zaid ya hiyo.
Na ikipatkana Basi hiyo ndoa lazima iote mbawa
Nakazia mkuu, nakaziaaaa[emoji1666][emoji1666]
 
Mtoamada hajasema usigonge, kasema usipende.

Anaweza akagongwa na wewe ila hakupendi.

Hata wewe unaegonga Dem wa mwenye pesa huna confidence ndo maana utaish na dem kama digidigi
Afadhali umenisaidia kumwelewesha chief[emoji1666]
 
Natafuta 10k, naenda site nachukua mzigo wa 5k napiga narudi zangu home mwepesi, nyie mnaotaka kupetiana endeeni kufilisika[emoji16]. Mahusiano ni hasara kwa Me na faida kwa Ke.
Hakuna Ke anaridhika hata umpe nini, siku ukianguka kiuchumi huna rangi utaacha ona.
Sahii kabisa,
Binafsi uko kwny kununua nishatoka,

Ntahudumia mbusus permanent Ila kwa bajeti

Mbususu itatumia kile Cha ziada tu na sio Cha muhimu au nnachokitegemea 100%

Wanaoniumiza kichwa ni wanangu na familia yangu, hao wengine acha tigawane vya ziada tu
 
Halafu kwa nini utafute pesa ili umfurahishe Ke, tafuta kwa ajili yako na furaha yako.

If possible ingia kwenye mahusiano ya "nipe nikupe", ukimhitaji unaandaa fungu lako, unaenda kuweka na kulipia huduma..mkimalizana kila mtu na hamsini zake, mmoja akimmiss mwenzake mnatafutana and it goes on like that.

Wekeza kwa Ke halafu utakuja kulia wallah!!
Hata Michepuko nayo iko kwny nipe nikupe, no investment.

Ujue kula mbususu daily kwa condom kwa Hawa wa kuijiuza Ni changamoto Sana.

Sasa kama pesa IPO kwann usiichukulie mchepuko wake wa kudum Safi kabisa ulipie huduma ya nyamanyama.

Pesa ikikata unalala mbele[emoji4]
 
Brother,
siogopi Kufilisika,Kufilisika kupo TU.

Na siwez kula/kuoa pisi mbovu eti naogopa ntachapiwa nkifilisika, wanwake wazur wengi sana mkuu wanazaliwa daily.

Nikichapiwa nafukuza naleta pisi nyingine,
Sikuzaliwa naye tumbo moja yule, As long as pesa IPO, ntajichagulia mrembo nnaemtaka atachukua nafasi yake.

Mkuu,
Sitafuti pesa ili niteseke,
Pesa inapaswa inifanye nifurahie maisha.
Mwanamke wa kunipasua kichwa na Hana Cha ziada nnachofaidi kwake namtupilia kushoto tu akifilie mbali uko.[emoji4]

Mwanamke Ni ua,
Mwanamke Ni urembo wa nyumba
Mke au demu wangu lazima anivutie nikimtizama ndo mambo mengn yatafata.

Kukimbiwa ukifilisika ni matokeo, waliosema
"filisika tujue tabia ya mkeo"
Au
"mwanaume pata pesa tuijue tabia yako"

Hawakua wajinga,

Huenda unayasema haya kwasababu hujapata pesa,
Ila nakuapia siku ukizipata hutotaka kula pisi mbovu, otherwise pesa zako za ndagu

KILA MWANAUME NDOTO YAKE KWANZA NI KUKOJOLEA PAZURI,MENGINE YATAFATA[emoji4]
"KUKOJELEA PAZURI" Kila mwanaume [emoji1666][emoji1666]
 
Natafuta 10k, naenda site nachukua mzigo wa 5k napiga narudi zangu home mwepesi, nyie mnaotaka kupetiana endeeni kufilisika[emoji16]. Mahusiano ni hasara kwa Me na faida kwa Ke.
Hakuna Ke anaridhika hata umpe nini, siku ukianguka kiuchumi huna rangi utaacha ona.
Facts[emoji1666]
 
Alafu mwanaume unakosaje kazi ya kufanya?
Ukiona huwez pata kazi basi hata mwanamke ukimpata kakuhurumia tu.

Mm nikishajua dem ana mshkaji asie na kazi nampa mambo mawili maisha safi na pesa lazima mjinga wake atoe chozi
Sawa don[emoji28]
 
Halafu kwa nini utafute pesa ili umfurahishe Ke, tafuta kwa ajili yako na furaha yako.

If possible ingia kwenye mahusiano ya "nipe nikupe", ukimhitaji unaandaa fungu lako, unaenda kuweka na kulipia huduma..mkimalizana kila mtu na hamsini zake, mmoja akimmiss mwenzake mnatafutana and it goes on like that.

Wekeza kwa Ke halafu utakuja kulia wallah!!
Naunga hoja mkono[emoji1666]
 
Back
Top Bottom