Mwanaume utathaminiwa kwa ulichonacho

Mwanaume utathaminiwa kwa ulichonacho

ndio hivyo kaka
duniani ni mwanamke na mbwa na nyau wanaweza kupendwa unconditional, mwanaume unapendwa with conditions
you must give something and u must have something, mwanaume tajiri anaweza kumtoa binti kwa mtogole, mwanamke tajiri hawezi hata kukuangalia wewe ukiwa kwa mtogole
Tafuta pesa King
Je ni kwa nini mke wa tajiri huwa anachukua hela za mumewe na kwenda kumuhonga mwanaume mwingine ambaye ni maskini,unadhani ni kitu gani husababisha hii?
 
Je ni kwa nini mke wa tajiri huwa anachukua hela za mumewe na kwenda kumuhonga mwanaume mwingine ambaye ni maskini,unadhani ni kitu gani husababisha hii?
mmh. Hapo me ninavoona ni kwa sababu kuna utofauti mkubwa kati ya mapenzi na pesa. Unajua mara nyingi huwa inatokea watu wengi wenye pesa nyingi hukosa mapenzi au tuseme hawapendelei kujishughulisha na mapenzi hasa haya ya kawaida nje ya ngono, sijui vimau, vijizawadi vidogo vidogo, wengine hata swala la ngono kwao sio inshu sana, maana anaweza kupata muda wowote na kwa mtu yeyote,

Sasa tukumbuke huyu mtu ana mke, ambaye ana hitaji hayo mapenzi kutoka kwake, anahitaji kujaliwa, kusifiwa, kufanyiwa vitu vinavyoashilia mapenzi.

Sasa kwa kuwa pesa ameshazipata, hutumia hizo pesa kulipia mapenzi ambayo kwa namna moja nyingine anakosa kutoka kwa mumewe,

Naweza kusema wake za matajiri hutoa pesa kwa maskini ili wapate kile ambacho wame zao wameshindwa kutimiza, na mara nyingi huwa ni ngono. Vingine ni vya ziada tuu.
 
Chief mapenzi na pesa ni 2 different things
Sex is business, but not every who is selling sex is a bitch!
Nimekutana na mwanamke kaniuzia 🥯 sababu alitaka hela ya dawa za mwanae, aliponipa reason ya yeye kuuza bums nikamuongeza hela na tukawa friends till today
Let's go,
Mke wa tajiri anakupa pesa sababu umemfurahisha kitandani, but she will never leave o'bay and come to settle with you uswahilini sababu umemkaza vizuri.... Never!
Kama mimi vile sometimes naenda kwenye strip club to watch bums kuna magen z mjomba liko mororo natoa pesa napiga narudi nyumbani napangusa mdomo, hakuna mapenzi hapo
So mke wa tajiri akikupa pesa, King eat that money but don't lie to yas3lf that unapendwa 😂😂 it's NO
It's for that 🥒 of urs, next time try to tell her to leave her husband and come to stay with you in ur back room
Wahenga walisema "mkono mtupu haulambwi". Women's stays where they do benefit.... Period!
 
Back
Top Bottom