souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
Wapi huko hebu nionyeshe njiaMkuu umenikumbusha kuna sehemu unapata watoto wa kidosi tu wananukia dengu. Huyu mnuka papuchi kama muuza pombe za kienyeji aende huko.
Mkuu saa 1 wanatoza 250,000 kama upo serious nitakuelekeza.Wapi huko hebu nionyeshe njia
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa mwili huo utasubiri sana kumpata njemba mwenye sifa hizo uzitakazo. Kila la heri kwenye matarajio yako.
Tupe na sifa/vigezo vyetu sisi wa mikoani...!
Uzuri wanawake mnaexpire date !! Endelea kujisogeza na Expire date yako!!1.uwe na gari kali