Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

Hiyo picha yako yenyewe unaonekana upo guest za buku saba hizo sifa za unavyotaka umezitoa wapi we mtoto wa mbwa
 
Mkuu umenikumbusha kuna sehemu unapata watoto wa kidosi tu wananukia dengu. Huyu mnuka papuchi kama muuza pombe za kienyeji aende huko.
Wapi huko hebu nionyeshe njia
 
sina vyote ila na matrekita sita aina ya John Deer niko kiteto nitakufaa?
 
Utangoja sana na mwisho utakimbilia kwa wenzio Kona bar au rambo
 
Wewe je unajiheshimu na pia ukoo wenu una hela mixer matjiri hiyo hela ni mtaji wa bness gan unafungua
 
Kwa mwili huo utasubiri sana kumpata njemba mwenye sifa hizo uzitakazo. Kila la heri kwenye matarajio yako.

1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
 
Hapo kwenye 20k kwa siku ndo nimekudharau, kumbe una thamani ndogo hivyo? Ka ishirini utatumiaje?
 
Kwa mwili huo utasubiri sana kumpata njemba mwenye sifa hizo uzitakazo. Kila la heri kwenye matarajio yako.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu kama vigezo hivyo hamna piteni kimyakimya povu la nini...[HASHTAG]#umasikinimbayasanaa[/HASHTAG]
 
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
Uzuri wanawake mnaexpire date !! Endelea kujisogeza na Expire date yako!!
 
huyo bill gates mwenyewe hajatoka ukoo wa matajir ukishindwa kusimama na mpenzi wako kuboresha maisha yenu mtateseka had mnaingia kaburini palipo na mafanikio ya maana nyuma kuna mwanamke mwenye akili sio mpigaji.
 
Mbona katika sifa ulizohitaji hujataja unataka mwanaume mwenye uchuma wa inch ngapi?
Nadhani unshitaji inch 20 au 25 ili ifike tumboni
Ndio utakoma kutaja pesa 600000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom