Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

We tumiwa tu tena endelea kuchagua tu, mwishooooni kabisa utaanza kupigwa na walevi wa vilabuni na dau lako wakati huo litakua glass ya gongo na hupati wa kukupa kwa jinsi utakavyokua umechoka
 
Siku zote usi expect vitu vidogo expectation zako zizidi mahali ulipo, hata ukitaka kufanikiwa we ota ndoto kubwa kubwa tu utaongeza juhudi na jitihada

Keep sleeping to earn more big dreams...
"Kwel utajiri umejaa makaburini, Watu wamekufa na ndoto" kama zako na mtoa uzi
 
We dawa yako ni kukuacha uzeeke... Utakosa mauzo hata kwa wanaume wa Dar... Ukaolewe na vibabu vya Mkoani...
Bahati mbaya yake hata vibabu vya mkoni siku hizi vimejanjaruka havitaki makombo
 
lol! siyo kwamba umenisoma mabandiko yangu humu ya miezi ya nyuma!? 🙂🙂 Imebidi nitabasamu tu lol!
Hapa sijasoma, ni hayo maelezo yako tu.
 
Reactions: BAK
Keep sleeping to earn more big dreams...
"Kwel utajiri umejaa makaburini, Watu wamekufa na ndoto" kama zako na mtoa uzi
Bora shujaa anayekufa na ndoto zake kuliko lofa anayeshinda na miguu yake
 
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
Nani anataka kiharufu cha mzoga wa panya maana huo mtaro na joto la d'asalam ni uvundo tupu..!
 
Kuna Miaka utapigiwa psiii psiii kuna Miaka Hata ukijipitisha hutasikia mtu wa kukuita na hapo ndio utatamani uwaite wewe wananume
 
hivi kwanini huwa una dharau sana? halafu wanaume wenye dharau manishiaga kulizwaa??? mpaka basi
Nina dharau gani? Girls wengi wenye mijitako ni wachafu sana kazi kujistill na mipafyumu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…