Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Hata wanawake wa kisukuma wako vzr, ni wapole, wastaarabu, wasikivu, wananidham, wakarim Hadi raha jamani lol, ila sio wale mashalobalo wa mjini

kama Kuna mwanamke wa kisukuma humu ani PM nataka nichukue toto la kisukuma.
 
Sifa kuu ya wanaume wasukuma ni hawatosheki na mwanamke mmoja.
Ni wachapakazi ila Wana michepuko yao ambao wanaficha.
 
Umesahau kitu kimoja wamejaliwa ..halafu hawajui kukasirka ovyo [emoji3059]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…