Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
Hata wanawake wa kisukuma wako vzr, ni wapole, wastaarabu, wasikivu, wananidham, wakarim Hadi raha jamani lol, ila sio wale mashalobalo wa mjiniKubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.
Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
kama Kuna mwanamke wa kisukuma humu ani PM nataka nichukue toto la kisukuma.