Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Leo naonaa umewawai 🤣🤣🤣
 
wewe na shemeji yangu Salma wa uyole mnajua kutusifia sana
 
Zunguka nyuma ya nyumba kafukue ukatoe kamzizi 😂
 
Hakuna mazuzu kama hao uuuwi uwiii...
 
Nimekaa usukumani miaka mingi kuna single mothers wengi sana,wenyewe wanaita wasimbe,si ajabu nyimba kukuta mabinti watatu wamerudi nyumbani kana wasimbe.
Take care
 
Nimekaa usukumani miaka mingi kuna single mothers wengi sana,wenyewe wanaita wasimbe,si ajabu nyimba kukuta mabinti watatu wamerudi nyumbani kana wasimbe.
Take care
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…