Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Nimegonga 58, sio muumuni wa dhehebu lolote ila najua Mungu yupo. Sina mtoto kwa sababu ya kuwaogopa wanawake ila sasa woga naona unaisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umsolopa ganz ngoja waingie kichwakichwa waone moto wake usio na poh dadek..Kuna mtu ataliwa ndogo very soon
Aise kama huna mpango wa kuzaa kabisa njoo pm tuanze kula bata na kusafiri duniaAwe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Huu uhaba wa wanawake kuolewa ukiangalia vizuri humu jukwaani ni wakristo wenzangu ila wanawake wa kiislamu ni wachache mno kuweka mabango humu.Nini shida?Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Miaka 40 haujazaa?Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Ndoa za kiislama hazina vikao wala mambo mengi hata ukiwa na laki 3 umepewa mke.Huu uhaba wa wanawake kuolewa ukiangalia vizuri humu jukwaani ni wakristo wenzangu ila wanawake wa kiislamu ni wachache mno kuweka mabango humu.Nini shida?
Au kwasababu waislamu wanaruhusu mwanaume kuoa zaidi ya mke mmoja?
Azae nini kwa umri huo?Wow! Mara chache nakuwemo! Leo nimo (48 years)! Kupendwa raha jamani. Kwangu wewe ni ka-spring chicken tu! Kweli duniani kila mtu ana mbabe wake. Unahitaji kuzaa, lakini ama?
Azae nini kwa umri huo?
Huyo anahitaji starehe tu.
Sasa, we unadhani ama kuamini mwanamke (tena hawa wa kileo) wa umri huo atazaa kweli?Unamsemea? Mbona huku DM anasema anataka kuzaa?
Laki 3 nyingi sana mkuu watoto wa kiislamu wanaolewa kwa kununuliwa kitabu cha msahafu tu awe anajisomea nyumbani kwake neno la Mungu.Ndoa za kiislama hazina vikao wala mambo mengi hata ukiwa na laki 3 umepewa mke.
Kweli kabisa..kuna mambo sio ya lazima wakristo tumeyaendekeza,,na yote hii wanaosababisha wanawake na wazazi wao kutaka ufahari.Laki 3 nyingi sana mkuu watoto wa kiislamu wanaolewa kwa kununuliwa kitabu cha msahafu tu awe anajisomea nyumbani kwake neno la Mungu.
Imagine msahafu unaweza ukanunuliwa kwa shilingi elfu 3 hadi 5 tu na unapata mke mtiifu kabisa kwako na bikra. Hawa wa mahari milioni na nusu hawaolewi na wakiolewa unakuta ni bwawa amepigwa miti ya kutosha tu na bado hatulii ndani.
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja
Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Mimi nahitaji sponsor wapendwaa umri awe kuanzia 45 to 60.
Yaani unakumbuka shuka kumekucha?!Nimegonga 58, sio muumuni wa dhehebu lolote ila najua Mungu yupo. Sina mtoto kwa sababu ya kuwaogopa wanawake ila sasa woga naona unaisha.