Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

Vigezo nimetimiza Dada nauliza kalio lipo la kutosha? sio nakutafuta nakukuta kalio kama dereva muendesha mtambo wa kushindilia barabara.
Mazafanta walahi dah [emoji23]
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Dada Kwani huwezi kuja kuishi huku Dodoma ?
Kama unaweza nipm nikuunganishe na babu yetu ni mstaafu was jeshi tangu mwaka 2015 yupo yupo tu anasubiri kufa maana pesa yote ya kiinua mgongo alikunywa pombe Sasa hivi Hana kitu na pia hana mke maana mkewe Alishakufa
 
Kkkk umenifurahisha kwei kwei mwanangu
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Naishi Ubungo lakini Ubungo hapa Rhombo kama unaenda Kimara zamani nilikaa Kinondoni Moscow. Sasa unataka ubungo gani.
 
Fwaki you. Nitashikililaje mimi wakati mie baba yako na si msengee? Uwe na adabu kabla sijafichua siri yako kuwa wewe ni mtoto wa kopo
Hahahahahahaha mbona unakuja juu na maneno makubwa. Hautaki kwenda USA
 
Hata nikisema Nihame nilipo niende Ubungo au Kinondoni Bado Kigezo cha Umri kinanikataa
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
40 ..no kids .

Naomba UniPM , kuna mambo nayohitaji kuyajua, usiseme umeshahangaika sana .

Nikuombe Usichoke, Naomba UniPM, tuulizane maswali machache tu.

Ikipendeza Mungu atasaida.
 
Back
Top Bottom