Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Kwa uandishi huu ndiyo maana hujaolewa. Huna adabu kwa mme bila shaka wewe ni Mnyaturu
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Yani mtu atafute maisha na mkewe, bado few years astaafu ale pension wewe ndio unajitokeza [emoji23][emoji23] wanawake wa Dar muwe walau na huruma, maana haya tunajua mmezikosa, basi muhurumie familia za watu, mnataka mle pension yote.
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Shida yangu kukoroma! [emoji1787] [emoji1787]
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Mwanamme wa ndoa hapangiwi awe anaishi wapi, labda hawara tu.
Inamana huyo mume kama akiajiriwa na akapata uhamisho kwenda mbali na Dar, inamaana ndoa inakufa.
 
Sijaelewa hapa.Anahitaji mtu wa kuishi nae mwanamme! Kuishi kuowana au kuishi tu huku mnapeana mzigo au inakuwaje? Au mlinzi?
 
Mkuu hujasema mwanaume awe na sifa zipi?
Six packs ,
Au hata wenye shepu ya upinde pia tuje inbox?
 
Laki 3 nyingi sana mkuu watoto wa kiislamu wanaolewa kwa kununuliwa kitabu cha msahafu tu awe anajisomea nyumbani kwake neno la Mungu.

Imagine msahafu unaweza ukanunuliwa kwa shilingi elfu 3 hadi 5 tu na unapata mke mtiifu kabisa kwako na bikra. Hawa wa mahari milioni na nusu hawaolewi na wakiolewa unakuta ni bwawa amepigwa miti ya kutosha tu na bado hatulii ndani.
Maake hapo acha kwanza ncheke [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom