Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

Yaani ma bro wa Ubungo hawatongozi kabisa yani, mnatuangusha washua.
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Unataka kuoa au kuolewa? Unaweza kumpangiaje mume sehemu ya kuishi au dini wakati wewe ndo mwenye shida? You are not serious my daughter na wakati wako wa kumpata akufaaye ima haujafika au umefika ila hujui. Acha masharti na maringo utaozea hapo
 
Ulitaka nisemeje??
 
Vigezo nimetimiza Dada nauliza kalio lipo la kutosha? sio nakutafuta nakukuta kalio kama dereva muendesha mtambo wa kushindilia barabara.
 
Ulitaka nisemeje??
Nilitaka ueleze tatizo lako na kuacha wenye majibu wayatoe. Mie nilipomua nyanya yako, alitulia wala hakuniwekea masharti ya sharti uwe dini hii au uishi mtaa ule au uwe na kazi gani. Unapata wapi jeuri hii wakati wewe ndo mwenye shida binti yangu. Anaweza akaishi Kipunguni hata akawa muislam ukambadilisha kama una mikakati tosha hasa ukizingatia mwenye mapenzi haoni wala hasikii hata kama ana macho na masikio binti yangu. Hapa kumbuka, nakufunda bure. Waswahili wanasema ukiona atafuaye anachoka jua kapata.
 
Vigezo nimetimiza Dada nauliza kalio lipo la kutosha? sio nakutafuta nakukuta kalio kama dereva muendesha mtambo wa kushindilia barabara.
Hufai. kama unataka makalio si kamuoe faru au kiboko
 
Nilitaka ueleze tatizo lako na kuacha wenye majibu wayatoe. Mie nilipomua nyanya yako, alitulia wala hakuniwekea masharti ya sharti uwe dini hii au uishi mtaa ule au uwe na kazi gani. Unapata wapi jeuri hii wakati wewe ndo mwenye shida binti yangu. Anaweza akaishi Kipunguni hata akawa muislam ukambadilisha kama una mikakati tosha hasa ukizingatia mwenye mapenzi haoni wala hasikii hata kama ana macho na masikio binti yangu. Hapa kumbuka, nakufunda bure. Waswahili wanasema ukiona atafuaye anachoka jua kapata.
Sitaki kuwa msumbufu,sipendi mahusiano ya mbali.
 
Back
Top Bottom